Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Mtoa mada nakutafuta kwa udi na uvumba...nilivaa boksa na pensi ya aseno tu ndo umeleta huku...shega 😅
 
wanapasha joto mayai,ila huko kote ulikuwa unatafuta nini?
nyeg mbaya sana...
 
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Wahenga walisema Jambo usilolijua ni kama usiku WA Giza ...Kuna kitu cha msingi wanakitunza ukipata mwingine muulize atakwambia
 
FB_IMG_1737684552648.jpg
 
Back
Top Bottom