Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Hahahaha
 
Maisha ya wanaume wa kweli ni mapambano daima!
Ktk mazingira flani tunavua suruali na kuendelea kupambana. Je nitavua suruali nibaki na hizo 'chupi' zilizoboreshwa?
Pia hizo bukta zinatusaidia kutunza silaha ndogondogo kama pisipisi, kusu, n.k. Wanaume duwanzi wa mijini wanaonewa na vidogo vyao vilivyokatisha tu kunyonya kwa kuwa hawatembei hata na wembe.
 
Una report kutoka wapi?
 
Duh
 
Dah!

Back
Top Bottom