Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Mtoa mada nakutafuta kwa udi na uvumba...nilivaa boksa na pensi ya aseno tu ndo umeleta huku...shega πŸ˜…
 
wanapasha joto mayai,ila huko kote ulikuwa unatafuta nini?
nyeg mbaya sana...
 
Wahenga walisema Jambo usilolijua ni kama usiku WA Giza ...Kuna kitu cha msingi wanakitunza ukipata mwingine muulize atakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…