Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Mi mwenyewe hii hua siielewi ila kwa kuwa umeitaja kanda ya ziwa kule ni spesho kesi linapokuja suala la mavazi. Wana staili yao nyingine unakuta mtu kavaa vuzuri kabisa let say kadet, chini kiatu cha ngozi kimebrashiwa vizuri amechomekea shati ila ndani ya shati ana zile jezi za basketballπŸ˜€πŸ˜€. Unamuangalia unasema ishi inq maana huyu mwamba kakosa vest? Au hili dude alilovaa ndani na hili joto ana manage vp?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umenichekesha mno
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…