Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Hongera sana Mama D

Leo nilitaka kuongelea hili suala, nashukuru wee umelileta hapa watu tujadili.

Kuhusu suala la kupinga na kuzuia ushoga, kuwa ni kinyume na maadili kwa jamii, ni sawa kwa mtazamo na fikra za watu. Na hakuna anayekataa hilo, na utovu wa maadili uko kwa mambo mengi sio ushoga tyuuh, ila njia inayotumiwa ktk kutekeleza hilo sio sahihi kabisaa kwani inamdhalilisha na kumtweza mtu husika, pia ktk kutekeleza hilo kuna ubaguzi na uonevu au upindishwaji wa sheria juu ya hilo jambo km vifungu vinavyo sema.

Ktk vifungu vya sheria vimeanisha kuwa kuingilia na kuingiliwa kinyume na maumbile ni kosa la jinai, na ni kwa jinsia zote yaan mwanaume na mwanamke pia, maana ya kwamba wote walio shiriki tendo la kinyume na maumbile wametenda kosa, na hukumu yao ni moja. Ila sasa ktk hili sakata linalo endelea kuna mapungufu mengi na ya wazi, ambayo yanapaswa kukemewa kweupee kabisa.

Tumeona case km 3 za wahanga wa hili sakata la ushoga ambao wamefungwa 30yrs jela ambao wote ni waingiliwa, kwa kuanzia ukamatwaji wake, hadi kukiri na hukumu kutolewa ni utata mtupuu, nasisitiza tena ni utata mtupuu, haiwezekani mtu akamatwe usiku afu asubuhi anahukumiwa eti kisa ali kiri, ali kiri kwa namna gani? Na uthibitisho wa kukiri kwake ukoje? Na km ali kiri kufanyiwa hivyo hao watu aliofanya nao hicho kitendo wako wapiii?? Sababu nao ni sehemu ya watuhumiwa. Tukihoji kuna watu wanakuja etii ooh hakuna ushahidi wa muingiliaji, sasa km hakuna huo ushahidi vipi muingiliwaji uwepo? Tukizidi kuhoji watu wanaishia kutoa hoja za kejeli na matusi, hiyo yote kukosa maarifa au kuna jambo linafichwaa.

Hakuna muingiliwa bila muingilia hilo linafahamika na liko waziii, naomba nitoe rai kwa mamlaka husika, km kweli wanataka kutatua hili tatizo na wako serious, bas waanze ku deal na wangiliaji, hawa ndio tatizo lenyewee, hata hawa waingiliwa wakifungwa jela wote, hawa waingiliaji wata waanzisha wengine wapyaaa, sasa sidhani km hilo ni suluhisho au ndio kuongeza tatizo.

Hawa waingiliaji ndio wanao waharibu watoto wakiwa hawajitambui na hawajiwezi, hadi wanafikia ukubwa na kuamua kuendelea kuishi hivyo wanaishia kuhukumiwa wao, huku waharibifu wakibaki huru kutamba na kuendelea kuwaharibu wengine. Hii iko sawa????

Mamlaka husikaa anzeni na hawa waingiliaji, kila muingiliwa akikamatwaa na kuthibitika, ataje wote walio muingilia na wakamatwe wahukumiwe km sheria inavyo semaaa hili janga litapungua km sio kuisha. Huku kuwaacha wawe huru uraiani ni sawa na kuendelea kukuza au kuongeza wingi wa watu hao.

Ukweli usemweee waingiliaji ndio wanatakiwa kukamatwa na kuhukumiwa, watapatikanaa kwa kutajwaa na walio waingiliaaa..
 
hizi arakati zako za ushoga humu zina mwisho wake
muda huu si uko nyuma ya keyboard, utakavyo buruzwa kama changudoa huto amini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliburuzwaa kina Mandela na baadae wakawa hero, cha ajabu kipii??
 
Kuna wanawake wanaliwa bila ridhaa yao, sasa hivi washaenda kufungua majalada
Wanaume 40 yenu imefika
hii vita ni kubwa kuliko tunavyodhani. Linapokuja swala la maungo ya binadamu na tamaa za kimwili ni ngumu kudhibiti kama unavyotaka kujiaminisha.

Na hao wanaoliwa bila ridhaa, huo ni ubakaji. Haikubaliki hivyo kukamatwa na kufungwa ni sahihi.
 
Hongera sana Mama D

Leo nilitaka kuongelea hili suala, nashukuru wee umelileta hapa watu tujadili.

Kuhusu suala la kupinga na kuzuia ushoga, kuwa ni kinyume na maadili kwa jamii, ni sawa kwa mtazamo na fikra za watu. Na hakuna anayekataa hilo, na utovu wa maadili uko kwa mambo mengi sio ushoga tyuuh, ila njia inayotumiwa ktk kutekeleza hilo sio sahihi kabisaa kwani inamdhalilisha na kumtweza mtu husika, pia ktk kutekeleza hilo kuna ubaguzi na uonevu au upindishwaji wa sheria juu ya hilo jambo km vifungu vinavyo sema.

Ktk vifungu vya sheria vimeanisha kuwa kuingilia na kuingiliwa kinyume na maumbile ni kosa la jinai, na ni kwa jinsia zote yaan mwanaume na mwanamke pia, maana ya kwamba wote walio shiriki tendo la kinyume na maumbile wametenda kosa, na hukumu yao ni moja. Ila sasa ktk hili sakata linalo endelea kuna mapungufu mengi na ya wazi, ambayo yanapaswa kukemewa kweupee kabisa.

Tumeona case km 3 za wahanga wa hili sakata la ushoga ambao wamefungwa 30yrs jela ambao wote ni waingiliwa, kwa kuanzia ukamatwaji wake, hadi kukiri na hukumu kutolewa ni utata mtupuu, nasisitiza tena ni utata mtupuu, haiwezekani mtu akamatwe usiku afu asubuhi anahukumiwa eti kisa ali kiri, ali kiri kwa namna gani? Na uthibitisho wa kukiri kwake ukoje? Na km ali kiri kufanyiwa hivyo hao watu aliofanya nao hicho kitendo wako wapiii?? Sababu nao ni sehemu ya watuhumiwa. Tukihoji kuna watu wanakuja etii ooh hakuna ushahidi wa muingiliaji, sasa km hakuna huo ushahidi vipi muingiliwaji uwepo? Tukizidi kuhoji watu wanaishia kutoa hoja za kejeli na matusi, hiyo yote kukosa maarifa au kuna jambo linafichwaa.

Hakuna muingiliwa bila muingilia hilo linafahamika na liko waziii, naomba nitoe rai kwa mamlaka husika, km kweli wanataka kutatua hili tatizo na wako serious, bas waanze ku deal na wangiliaji, hawa ndio tatizo lenyewee, hata hawa waingiliwa wakifungwa jela wote, hawa waingiliaji wata waanzisha wengine wapyaaa, sasa sidhani km hilo ni suluhisho au ndio kuongeza tatizo.

Hawa waingiliaji ndio wanao waharibu watoto wakiwa hawajitambui na hawajiwezi, hadi wanafikia ukubwa na kuamua kuendelea kuishi hivyo wanaishia kuhukumiwa wao, huku waharibifu wakibaki huru kutamba na kuendelea kuwaharibu wengine. Hii iko sawa????

Mamlaka husikaa anzeni na hawa waingiliaji, kila muingiliwa akikamatwaa na kuthibitika, ataje wote walio muingilia na wakamatwe wahukumiwe km sheria inavyo semaaa hili janga litapungua km sio kuisha. Huku kuwaacha wawe huru uraiani ni sawa na kuendelea kukuza au kuongeza wingi wa watu hao.

Ukweli usemweee waingiliaji ndio wanatakiwa kukamatwa na kuhukumiwa, watapatikanaa kwa kutajwaa na walio waingiliaaa..
Kabisa.... Waingiliaji na wasagaji wakamatwe pia, hii ndo haki yenyewe sasa....
 
man anaesex na mwanamke through backdoor ni easy sana kutafuna gays kwa sababu ya fantasy

Sidhani kama ni kweli, ila navyojua ku sex kuna vichocheo vya kuleta mihemko kutoka kwa Ke to Me.

Sasa tako la gay linavutia nini?Tunachojua mnyumbuliko wa mwanamke , maumbile ya mwanamke, mfano maumbo yao ya kisasa ambayo huwezi kuta kwa gay.

Bila ya distortion ya akili sidhani kama kuna mwanaume anaweza kuamua kwenda kumkandamiza mwanaume mwenzake kwa ukuni.
 
Unatetea nini!?
Yaani taifa linahitaji kizazi kijacho kuliendeleza halafu wewe unaozesha kijana wako wa kiume kwa mwanaume mwingine! Hebu tumia japo akili kidogo
Sitetei, nakueleza kwa mantiki ya kujaza thread yako na vitu husika ili ishibe. Nasi tuone tunawezaje kuifikisha kwa hawa vijana na watoto wanaokua.
Wanaume kuingiliana, wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile haijaanza bongo leo wala jana?
Idadi ya awareness imekuwa amoung our communities ndio maana sasahvi tunaona kuna sauti kubwa ya 🏳️‍🌈. Plus utandawazi. Ushoga upo, utakuwepo zama na zama.
approximately eight percent of the world identifies as homosexual, bisexual, or pansexual. Umejiandaje kupinga ushoga kirahisi rahisi hivo ukaeleweka. With just five sentences jamii forum. Embu reason mama D. Mm nakuchallange usiseme natetea. Humu tu jf, mashoga kibao. Hii population ya humu ni kubwa. Na wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile tena kwa kupenda wapo humu.
 
Back
Top Bottom