Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

mama D mpaka Sasa waliofungwa ni mapunga tu. Mmoja kule Mbeya na mwingine Kilwa, wote miaka 30.
Katika Hawa hakuna aliyemtaja mwamba aliyemilimba.
Kuna yule polisi aliyeingiliwa kesi iko mahakamani, Wana deal na yeye tu, mwamba au miamba iliyomuingikia hajaonekana mahakamani.
Tanzania tuna deal na mashoga tu, wasagaji, changudoa na mabasha hawatajwi japo twajua hatuwezi kua na mashoga bila kua na mabasha.

Wawajibishwe watumiaji na watumiwaji
 
Sasa mama D, unaposema hao wanao waingilia wanawake/wanaume wenzao; watajwe, wakamatwe na wafungwe! Unaelewa lakini namna hilo zoezi lilivyo complicated?

Kwanza mara nyingi linafanyikia faragha! Na kwa makubaliano ya pande mbili! Je, unadhani ni rahisi mtu aliyefanyiwa hicho kitendo kujitokeza hadharani na kutoa ushahidi?

Halafu serikali ya ccm mbona mmeshupalia sana haya mambo ya ushoga, na wakati nchi inapitia matatizo mengi zaidi ya huo ushoga mnao upa promo! Maana ulishakuwepo kitambo tu.

Hivi matatizo kama ya ufisadi uliokithiri serikalini, kupanda kwa bei ya vyakula, nk hayana mashiko kwa upande wako! Isipokuwa ushoga tu!

Vipi kuhusu hawa wezi wa fedha za umma ambao wametapakaa kwenye serikali ya ccm! Kwa nini tusiwakamate kwanza hao na kuwafunga? Halafu baadaye ndiyo tuhamie kwenye ushoga, ambao kwa kweli mnajitahidi kuupa promo!

Tate Mkuu 🤔🤔🤔
 
Hii nguvu ya kufatilia vitobo vya watu ungeitumia kwenye kupinga ufisadi binafsi yako ungekua maarufu sana kuliko hata Nyerere ila kwa sababu akili zako zinaonesha namna gani una upeo mfupi kama kuku unaamua kupiga mawe angani na unaamini yataumiza mawingu
Itakuwa jiwe limempata mwenyewe
 
%60 ya wanawake sahv wanaliwa jicho....si wanataka maisha mazuri
Tamaaa
Na hyo operation ya kuwapima marinda ingependeza ningepewa
Mimi ....

Ova

Upewe wewe ili uwapime na dudulako🙄🙄🙄🙄
 
Ushoga ni laana
 

Attachments

  • Screenshot_20230421_141702.jpg
    Screenshot_20230421_141702.jpg
    82.6 KB · Views: 3
Hongera sana Mama D

Leo nilitaka kuongelea hili suala, nashukuru wee umelileta hapa watu tujadili.

Kuhusu suala la kupinga na kuzuia ushoga, kuwa ni kinyume na maadili kwa jamii, ni sawa kwa mtazamo na fikra za watu. Na hakuna anayekataa hilo, na utovu wa maadili uko kwa mambo mengi sio ushoga tyuuh, ila njia inayotumiwa ktk kutekeleza hilo sio sahihi kabisaa kwani inamdhalilisha na kumtweza mtu husika, pia ktk kutekeleza hilo kuna ubaguzi na uonevu au upindishwaji wa sheria juu ya hilo jambo km vifungu vinavyo sema.

Ktk vifungu vya sheria vimeanisha kuwa kuingilia na kuingiliwa kinyume na maumbile ni kosa la jinai, na ni kwa jinsia zote yaan mwanaume na mwanamke pia, maana ya kwamba wote walio shiriki tendo la kinyume na maumbile wametenda kosa, na hukumu yao ni moja. Ila sasa ktk hili sakata linalo endelea kuna mapungufu mengi na ya wazi, ambayo yanapaswa kukemewa kweupee kabisa.

Tumeona case km 3 za wahanga wa hili sakata la ushoga ambao wamefungwa 30yrs jela ambao wote ni waingiliwa, kwa kuanzia ukamatwaji wake, hadi kukiri na hukumu kutolewa ni utata mtupuu, nasisitiza tena ni utata mtupuu, haiwezekani mtu akamatwe usiku afu asubuhi anahukumiwa eti kisa ali kiri, ali kiri kwa namna gani? Na uthibitisho wa kukiri kwake ukoje? Na km ali kiri kufanyiwa hivyo hao watu aliofanya nao hicho kitendo wako wapiii?? Sababu nao ni sehemu ya watuhumiwa. Tukihoji kuna watu wanakuja etii ooh hakuna ushahidi wa muingiliaji, sasa km hakuna huo ushahidi vipi muingiliwaji uwepo? Tukizidi kuhoji watu wanaishia kutoa hoja za kejeli na matusi, hiyo yote kukosa maarifa au kuna jambo linafichwaa.

Hakuna muingiliwa bila muingilia hilo linafahamika na liko waziii, naomba nitoe rai kwa mamlaka husika, km kweli wanataka kutatua hili tatizo na wako serious, bas waanze ku deal na wangiliaji, hawa ndio tatizo lenyewee, hata hawa waingiliwa wakifungwa jela wote, hawa waingiliaji wata waanzisha wengine wapyaaa, sasa sidhani km hilo ni suluhisho au ndio kuongeza tatizo.

Hawa waingiliaji ndio wanao waharibu watoto wakiwa hawajitambui na hawajiwezi, hadi wanafikia ukubwa na kuamua kuendelea kuishi hivyo wanaishia kuhukumiwa wao, huku waharibifu wakibaki huru kutamba na kuendelea kuwaharibu wengine. Hii iko sawa????

Mamlaka husikaa anzeni na hawa waingiliaji, kila muingiliwa akikamatwaa na kuthibitika, ataje wote walio muingilia na wakamatwe wahukumiwe km sheria inavyo semaaa hili janga litapungua km sio kuisha. Huku kuwaacha wawe huru uraiani ni sawa na kuendelea kukuza au kuongeza wingi wa watu hao.

Ukweli usemweee waingiliaji ndio wanatakiwa kukamatwa na kuhukumiwa, watapatikanaa kwa kutajwaa na walio waingiliaaa..
Umeongea vyema sana.
 
Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania

WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA

ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA




Asante cocastic
Ukitajwa wewe na hukufanya utajiteteaje!?
 
waanze na sheria maana mabasha sheria ndo inawabeba
Hakuna sheria inayo wabebaa, sio mabasha, shoga, wala wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile hawa wote hukumu yao ni moja, na iko wazi

Ila kwa sasa hili jambo linaendeshwa ki muhemko, ndo maana inakua hivi lakini wakisha kuja kujua tatizo liko wapii utaona mabasha watakavyo sakamwaaa,.
 
Back
Top Bottom