mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
waafrikaUlikataliwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waafrikaUlikataliwa na nani?
Lete ushahidi.waafrika
KabisaHakuna kusumbuka
WAEFESO 6:12
"Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho."
🤣🤣🤣Hii nguvu ya kufatilia vitobo vya watu ungeitumia kwenye kupinga ufisadi binafsi yako ungekua maarufu sana kuliko hata Nyerere ila kwa sababu akili zako zinaonesha namna gani una upeo mfupi kama kuku unaamua kupiga mawe angani na unaamini yataumiza mawingu