Wanaume mnapata wapi nguvu ya kulilia wanawake pale mnapoachika?

Wanaume mnapata wapi nguvu ya kulilia wanawake pale mnapoachika?

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
Ikifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.

Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani.

Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi. Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka mara moja, maana hukuachwa leo; alishakuacha kitambo. Alikua anafanya intelijensia zake taratibu, sasa ameshajiridhisha na ana kiburi.
Hupaswi kuchukia. Wala hupaswi kulia. Ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike.

Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani mwako. Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma, kwa kuwa wewe ulikuwa usingizini, akikulisha maneno ya "I love you too" pale ambapo ulimweleza hisia za "I love you."

Acha hiyo biashara haina faida, itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.

Ni heri kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe.
Kama amemaliza biashara na wewe, kamaliza. Funguka, funga ukurasa, ondoka mahali hapo.
Haijalishi umewekeza kiasi gani. Hesabu hiyo ni kama hasara. Amka hapo ondoka zako, kung’uta matako, anza zako.

Hata kama ulisomesha, hiyo ilikuwa ni kazi ya baba yake, lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi. Hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzake. Kung’uta matako, anza zako.

Hata kama ulimjengea kwao.
Hata kama uliwawezesha wadogo zake.
Hayo hayakuwa katika mapatano, uliingilia mradi.

Kung’uta makalio, anza zako hata kama inauma.
Najua inauma sana hiyo. Sasa itumie hiyo iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.

Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni. Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya ambaye hautarudia upumbavu tena.

Maumivu na hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume. Acha hili likujenge.

Man up.
 
FUNGUKA

: Ikifika Hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawewe,Hio ndio kengele kamili inayokujulisha kua penzi limeisha na Hakuna chochote unaweza Fanya kurekebisha huo uhusiano usife🤣🤣🤣😎😎

: Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani,ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache😎😎🤣🤣wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani?
Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi🥸😎😎
Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka Mara moja,maana hukuachwa leo alishakuacha kitambo alikua anafanya intelijensia zake taratibu sasa ameshajiridhisha Ana kiburi😎😎
hupaswi kuchukia😎
Wala hupaswi kulia,ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike😁😎😎

: Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani nwako,
Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma...kwakua wewe ulikua usingizini,😎😎Akikulisha maneno ya I love you too...!
Pale ambapo ulimweleza hisia za I love you.😎
acha hio biashara haina faida itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.🥸😎

: Ni HERI kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe🤣🤣🤣😎😎

: Kama amemaliza biashara nawewe kamaliza,funguka na funga ukurasa ondoka mahali hapo🥸😎😎

: Haijalishi umewekeza kiasi gani? Hesabu hio ni Kama hasara amka hapo ondoka zako,kung'uta matako Anza zako🤣🤣🤣😎😎

: Hata Kama ulisomesha hio ilikua ni kazi ya baba yake,lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi😎😎😎 hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzie....
Kung'uta matako ANZA ZAKO.😎😎😎

Kung'uta makalio ANZA ZAKO hata Kama inauma😎😎

: Najua inauma sana hio,sasa itumie hio ndio iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.😎😎
Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni😎😎😎
Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya 🤣😎😎
ambaye hautarudia upumbavu tena.

: Maumivu na Hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume...Acha hili likujenge.🤣🤣😎😎

Man Up.
#foryouシpage #illuminateyourspace #philosopher #knowledgeispower

Content created by : Dogoli kinyamkela
Mkuu kwanini unaumizwa na mapenzi..?
ukiona unaumizwa na mapenzi tambua wewe ni zwazwa!.
 
Pole shida nn
 
Back
Top Bottom