Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa.

Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything.

Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli.

Magari parking yanatingishika balaaa hahaha.

Ni balaaa.
 
Aisee Mambo yanayoendelea dodoma after maradhoni ni balaaaa

Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything

Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hotel

Magari parking yanatingishika balaaa hahaha

Ni balaaa

Hawana ndoa, wanawake wengi wanavaa pete na ndoa hawana, hakuna wanaume wa hovyo hivyo, au ndoa zinakata. Usione huruma au kuwa na wasiwasi, wenye ndoa na prospect ya ndoa wake zao wako salama nyumbani, au kuleni tu.
 
Mwanamke sio mfugo unaofuga kama midevu yako iliyojaa uso mzima kama ya Osama bin Laden
 
Hawana ndoa, wanawake wengi wanavaa pete na ndoa hawana, hakuna wanaume wa hovyo hivyo, au ndoa zinakata. Usione huruma au kuwa na wasiwasi, wenye ndoa na prospect ya ndoa wake zao wako salama nyumbani, au kuleni tu.
Kama ulifanikiwa kuona video moja ilikuwa ina-trend sana miezi mitano nyuma mwanamke mmoja feminist aliyemkamata bwege mmoja alikuwa anajitapa kwenye kitchen party na wenzake akisema yeye akitaka kutoka anatoka kwa sababu hela zake anazo so hana wa kumpangia atoke saa ngapi au arudi saa ngapi!

Vijana wengi wanaoa wanawake ambao hawawezi kuwakataza kufanya yale wasiyoyataka na hata wakijaribu kukataza mwanamke anaenda kwa sababu sponsors wapo akirudi anaingia ndani ya nyumba mume akitingisha kiberiti kesho mwanamke anaamkia kwao kesho kutwa mahakamani wagawane mali.
 
Back
Top Bottom