Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Sasa huu ugonjwa wa akili Mzee baba..kufua nako shida!!*??
 
Siwezi kukaa bafuni saa nzima maximum dakka 15 na siwezi nyoa vuzi la matakoni Ila huko kwingine always kupo safi..
 
Mtoa mada wee bado mtoto,
Maana wakubwa hua hawaogopi manyoya.
 
Wanawake bhana wanataKa wamtawale mwanaume kila idara lkn wanarudi wao kuanza kunungunika tena

Sikiliza[emoji23][emoji23]

Faida ya mavizi na nywele kwapani

Kuna secretary glands nambazo hutoa majimaji yanayosababisha kubost libido kwa mwanaume. Kuna bacteria wengi sehemu hizi za nyele nyingi amabao husecret usiful materials kwa kinga ya mwili na wanauwezo wakutoa vit E itafute ujue manufaa ya Ngozi. Na ktk mapenzi wazungu wajanja wnawaacha mnanyoa harafu wanawauzia losheni yenye vitamin E

Mnafanya ujinga sana harafu mnarudi kusema mwanaume hakuridhishi


Punguwani wakubwa
 
umenichekesha mpaka basi!!!!! by the way hivi kweli mwanaume akae bafuni NUSU SAA au SAA NZIMA anaoga???? serious kweli!!!! labda kama anafanya ule mchezo pendwa wa pun..........o. Ila sio kwa kichambo hicho looo!!!
 
Maandishi kama ya mtu fulani sijui kabadili ID???
 
Dakika 20 nasugua meno?, Tanzania tuwe na nidhamu ya muda...

Binadam washaoza, hata wafanye usafi kila baada ya dakika 5...bado wataendelea kunuka km kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…