Wanaume mnataka nini hasa kwenye mahusiano?

Wanaume tulieni na ndoa zenu!!!! Utakuta mtu na Pete yake kidoleni amekung'aninia mtoto wa watu muda wote anataka mapenzi, najiuliza ni kwamba hamridhishwi na wake zenu?

Mnakosa furaha au mapenzi ya kweli uko mliko? Tamaa? au ulioa ili upate heshima tu lakini mwanamke uliye nae sio sahihi au ni nini? Nilipokuwa chuo nili date na mwalimu ambaye alikuwa anatufundisha lakini niliogopa sap, kingine mwl mwenyewe tu alinivutia,lakini alikuwa ni mume wa mtu ametoka kufunga ndoa wiki ilo ilo akakutana na Mimi kwenye sita kwa sita mke wake alisafiri kidogo,lakini hata aliporudi ikawa ivyo ivyo tunakulana tu as if hana mke!

Na simu hazikatiki hadi leo huyu teacher akisikia tu nipo mkoa huo atanisumbua labda niende kimya kimya asijue, Sasa Mimi nimechoka. Nipo mkoa flani nakutana tena na Yale Yale mtu na Pete yake mkononi nakupenda!! Nakupenda! Nipe Nipe! Jamani! huu mwezi wa nne namkatalia bado anakomaa tu na Mimi,saizi mimi nipo kwenye mahusiano serious,vipi mwanaume wangu akikuta chati?

Yaani tunaharibiana nyie wanaume. mnataka chapati! Au mnataka nini?
Duuh Siri peupe
 
Pale kwenye sukari, heshima, kuwajibika home na katika kutafuta, Upendo na uaminifu
 
Wanaume hukubeba unavyojiweka ,ukikuta openly me walioolewa wanakufuata jua una dosari na sio ndogo , wanaume wengi ni tamaa tu Ila sio kila mwanaume anayekufuata anakutaka kiukweli .

Katika pita zangu daily mbona madem wengi wananiapproach wakijua nimeoa ,Ila huwa nakatalia kwa hekima most times
 
yanyook [emoji777]️ yanyooke [emoji736]️
recture [emoji777]️ lecturer[emoji736]️
kufauru [emoji777]️ kufaulu[emoji736]️
tulopitia[emoji777]️ tuliopitia[emoji736]️
ayo [emoji777]️ hayo[emoji736]️
aya [emoji777]️ haya[emoji736]️

Kweli bila kuvua chupi sup ingekuhusu
Tushawazoea humu jf watu kama nyie hatuwashangai unapotoa mapungufu ya mwezio jiulize kama wewe ili neno PERFECT linakuhusu sipo darasani hapa kusema nafanya mtihani nipate max mpaka umejibu means umeelewa nilichokiandika.
 
max ❌️ marks✅️
 
Endelea na umalaya ndoa utaiskia kwenye taarifa ya habari TBC
 
Afu na huyu keshokutwa eti ameolewa, M. A. E nimebadili msimamo nisipokuta bikra sioi, kama wanawake wenyewe ndo hawa bora tuendelee kulana kimaskhara.

Kuna demu juzi kati kaolewa afu aliyekuwa anamtafuna before namjua, na alikuwa ana mtafuna hata baada ya ndoa kutangazwa na michango inachangishwa, nikasema sichangii huu unafiki ng'oo na kwenye harusi siendi hata nipewe kadi ya bure.

Dunia imejaa unafiki

KATAA NDOA nimeanza kuwaelewa kwa kiwango cha lami
Utatuelewa tu,ndoa ni ufala tu ni kwa ajili ya watu dhaifu
 
Kwahyo umetangaza waz anyways subiri wenye dau waje wateja ni wengi sana utapata usiwaze
 
Wanaume tulieni na ndoa zenu!!!! Utakuta mtu na Pete yake kidoleni amekung'aninia mtoto wa watu muda wote anataka mapenzi, najiuliza ni kwamba hamridhishwi na wake zenu?

Mnakosa furaha au mapenzi ya kweli uko mliko? Tamaa? au ulioa ili upate heshima tu lakini mwanamke uliye nae sio sahihi au ni nini? Nilipokuwa chuo nili date na mwalimu ambaye alikuwa anatufundisha lakini niliogopa sap, kingine mwl mwenyewe tu alinivutia,lakini alikuwa ni mume wa mtu ametoka kufunga ndoa wiki ilo ilo akakutana na Mimi kwenye sita kwa sita mke wake alisafiri kidogo,lakini hata aliporudi ikawa ivyo ivyo tunakulana tu as if hana mke!

Na simu hazikatiki hadi leo huyu teacher akisikia tu nipo mkoa huo atanisumbua labda niende kimya kimya asijue, Sasa Mimi nimechoka. Nipo mkoa flani nakutana tena na Yale Yale mtu na Pete yake mkononi nakupenda!! Nakupenda! Nipe Nipe! Jamani! huu mwezi wa nne namkatalia bado anakomaa tu na Mimi,saizi mimi nipo kwenye mahusiano serious,vipi mwanaume wangu akikuta chati?

Yaani tunaharibiana nyie wanaume. mnataka chapati! Au mnataka nini?
Kujirahisisha kwako ndo kunakufanya Uwe hivyo achakujirahisisha
 
Mla mliwa dadaa
 
Back
Top Bottom