Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Lipia tu Bei ElekeziWewe binafsi unataka nikupe sh ngap??
Me nmekuelewa
[emoji23]Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi, kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo, mwanamke ukimpa hela utampenda, sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa[emoji23]
Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!
Tumia lugha elekezi πππππKila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi, kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo, mwanamke ukimpa hela utampenda, sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapaπ
Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!
Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi.
Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo.
Mwanamke ukimpa hela utampenda.
Sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa.
Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!
Shida ya hili swala la huduma limekua pana sana, usipoangalia hutafanya la maana. Wamekua wakitaka huduma kubwa sana. Hakuna mwanaume hatakai kumhudumia mwanamke wake, shida ni kwa kiasi gani kulingana na kipto?Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi.
Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo.
Mwanamke ukimpa hela utampenda.
Sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa.
Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!