Wanaume mnataka nitumie lugha gani?

Wanaume mnataka nitumie lugha gani?

Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi, kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo, mwanamke ukimpa hela utampenda, sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa😂
Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!
Tumia lugha elekezi 😂😂😂🏃🏃
 
Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi.

Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo.

Mwanamke ukimpa hela utampenda.

Sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa.


Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!

Mke wa ndoa tu ndie anaudumiwa wengine si lazima
 
Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi.

Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo.

Mwanamke ukimpa hela utampenda.

Sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa.


Ogopa mwanamke anayedai kitu hiki!
Shida ya hili swala la huduma limekua pana sana, usipoangalia hutafanya la maana. Wamekua wakitaka huduma kubwa sana. Hakuna mwanaume hatakai kumhudumia mwanamke wake, shida ni kwa kiasi gani kulingana na kipto?

Ndoto ya kila mwanaume ni kuwa na mwanamke kama wa yatapita ya chibu. Binti aliletewa vigauni vya bukubuku na akaridhika maskini. Hii humpa nguvu sana mwanaume ya kukupa tena. Ila shida yao hawaridhiki.

Utamfanyia mwamala wa laki leo baada ya siku tatu anashida nyingine. Ukimwambia nipe siku mbili huo mnuno wake ni kiwango cha SGR. Hapo ndio unakuta kama kuna mwanaume atamsaidia kwa wakati huo basi anamla kilaini tu.

Ndio maana wajuba tumeamua hit and run. Unalipa, unakula, unasepa. Hizi huduma zao ni countless aisee
 
Kwamba umesikia tuna hela za kuchezea kiasi hicho, au tumekua vituo vya msaada au tassaf, anae hudumiwa ni mke sio Malaya Wala sio mpenzi
Nb: sio lazima unielewe
 
Back
Top Bottom