Wanaume mpewe nini mtulie?

Wanaume mpewe nini mtulie?

Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.

Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.

Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?

Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.

Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.

Ni mada nimeona niilete.

Asante ni.
Pole sana kwa changamoto.
Ila wanasema kila mtu anapata size yake,hakuna anayepewa kiatu ambacho hakimtoshi.
Jitahidi kutumia dose kikamilifu.
 
Back
Top Bottom