incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
-
- #41
hapa unazungumzia wehu ila sio mnavyodhani kila anaekunywa ni kero, nani kawadanganya hayo na ndio mnapokoseaga hapakinachofanya mnakuwa mada sio utajiri au umasikini wenu,ni matendo yenu baada ya kulewa.
yaani pombe huwa haibaki kuwa starehe yenu peke yenu,bali kero kwa wasiokunywa.
ndio mawazo yen wote ndio maana sitaki kujibizana na nyie, chenchi za mwanamke oohshit men, yaani pesa ya matumizi au? ndio maana siwalaumu maana najua mkipata pesa mtajua namna ya kuishi unaibaje pesa kwa mwanamke na unaiba bank au mezan shitTatizo moja pesa zikiisha mna kunywa gongo na minazi amna lolote, mnaibia wake zenu vichechi.
mkuu nikinywa control inakuwa mara 100 zaidi ya awali asikwambie mtu labda mwehu au kuna mkono wa mtu ila hivhivi drunken driving is soo niceUsinywe na kuendesha chombo chochote cha moto.
hata sisi huwa hatusemi watumiaji wote,kumbuka kuna walevi na wanywaji.hapa unazungumzia wehu ila sio mnavyodhani kila anaekunywa ni kero, nani kawadanganya hayo na ndio mnapokoseaga hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maini tu ndo mnazidiwa walevi , mana walevi maini yameharibika kama nyama kuchoma na corona hii, tunahatari ya kupoteza walevi!! Mwahi chanjo mapemaHabari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.
Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli? wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama outfucus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajari ni nani? yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili unalijua wewe ila kuna viwanaume kikikuona no matter umekisemesha or not bado kinakudharau asee unamdharauje mtu anaekuzid elimu, pesa na kila kitu hadhi dhambi kakuzid hebu chill menhata sisi huwa hatusemi watumiaji wote,kumbuka kuna walevi na wanywaji.
mlevi hawezi kuwa na maendeleo hata siku moja,maana hunywa mpaka kulala barabarani na kutukana watu,kisha huitwa mlevi.
Mlevi anajua starehe inahitaji gharama, wanafanya kazi kwa juhudi, halafu unakuta anapiga fundo taratibu huku anafikiria kesho mipango inaendaje.... lakini alcohol abuse ndio inawatoa wengi roadWalevi ndio wenye mafanikio ,angalia parking kwenye baa,walevi wana mijengo.....Bia ni maendeleo.
Mkuu you are right kabisa, ukinywa kiasi sio sana umakini huwa unaongezeka sana kibaya ukizidisha unaweza chomolewa wallet usijue...mkuu nikinywa control inakuwa mara 100 zaidi ya awali asikwambie mtu labda mwehu au kuna mkono wa mtu ila hivhivi drunken driving is soo nice
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ini jipya ukamringishie nani na wakati ukifa linaliwa na funzaKunywa tu ili uendelee "kujenga" ini lao.
Mwisho wa siku mtu anaomba umsaidie ili aweze kuacha kupiga vyombo...Hawezi kukuelewa siku mbili hizi.
Acha tarehe zigeuke.🤣
Wanajionaga wapo perfectWana wa soda wanazingua...