Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

kinachofanya mnakuwa mada sio utajiri au umasikini wenu,ni matendo yenu baada ya kulewa.

yaani pombe huwa haibaki kuwa starehe yenu peke yenu,bali kero kwa wasiokunywa.
hapa unazungumzia wehu ila sio mnavyodhani kila anaekunywa ni kero, nani kawadanganya hayo na ndio mnapokoseaga hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo moja pesa zikiisha mna kunywa gongo na minazi amna lolote, mnaibia wake zenu vichechi.
ndio mawazo yen wote ndio maana sitaki kujibizana na nyie, chenchi za mwanamke oohshit men, yaani pesa ya matumizi au? ndio maana siwalaumu maana najua mkipata pesa mtajua namna ya kuishi unaibaje pesa kwa mwanamke na unaiba bank au mezan shit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa unazungumzia wehu ila sio mnavyodhani kila anaekunywa ni kero, nani kawadanganya hayo na ndio mnapokoseaga hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
hata sisi huwa hatusemi watumiaji wote,kumbuka kuna walevi na wanywaji.

mlevi hawezi kuwa na maendeleo hata siku moja,maana hunywa mpaka kulala barabarani na kutukana watu,kisha huitwa mlevi.
 
Habari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.

Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli? wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama outfucus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajari ni nani? yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maini tu ndo mnazidiwa walevi , mana walevi maini yameharibika kama nyama kuchoma na corona hii, tunahatari ya kupoteza walevi!! Mwahi chanjo mapema
 
hata sisi huwa hatusemi watumiaji wote,kumbuka kuna walevi na wanywaji.

mlevi hawezi kuwa na maendeleo hata siku moja,maana hunywa mpaka kulala barabarani na kutukana watu,kisha huitwa mlevi.
hili unalijua wewe ila kuna viwanaume kikikuona no matter umekisemesha or not bado kinakudharau asee unamdharauje mtu anaekuzid elimu, pesa na kila kitu hadhi dhambi kakuzid hebu chill men

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip moja binti alisukumiziwa mzinga mzima nafikiri K-VANT kaachia kinyesi na kuna shuhuda alisema alikata moto palepale, mimi binafsi ni mhanga dogo alikata moto kwenye ulevi......kwa hiyo unapokuja na tambo kama hizi kuhusu gambe uwe unaweka na akiba ya maneno maana tumeshuhudia watu kibao wakiharibikiwa na wengine kupoteza maisha kabisa, ndo maana sidhani kama nitakuja kugusa tena pombe baada ya dogo kukata moto kwenye ulevi.....
 
mkuu nikinywa control inakuwa mara 100 zaidi ya awali asikwambie mtu labda mwehu au kuna mkono wa mtu ila hivhivi drunken driving is soo nice

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu you are right kabisa, ukinywa kiasi sio sana umakini huwa unaongezeka sana kibaya ukizidisha unaweza chomolewa wallet usijue...
 
Hapa mipango yote ya maendeleo imeshakaa sawa anakunywa ya mwisho asepe😁😁😁
8909890.jpg
 
Back
Top Bottom