Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Mawazo mfu haya. Acha kumdanganya mkeo au mume wako mwenye fikra mbilikimo kama zako[emoji851][emoji851][emoji851]
 
kinachofanya mnakuwa mada sio utajiri au umasikini wenu,ni matendo yenu baada ya kulewa.

yaani pombe huwa haibaki kuwa starehe yenu peke yenu,bali kero kwa wasiokunywa.
sasa nyie msiokunywa mbona hamnaga maendeleo ya ajabu..huwa mnapeleka wapi hela zenu? ......halafu mademu zenu wanalalamika sana kwamba pamoja na kwamba pombe hamnywi ,maendeleo hakuna halafu nyumbani hamlalagi au mnarudi usiku mnene..huwa mnakuwaga wapi wakati hampigi GAMBE?
 
Unajisifia dhambi???? Hivyi unajua kwamba kuna maisha baada ya haya, huo ulevi wewe furahia lakini jua kwamba mda na wakati usioutegemea utajikuta mbele za Mungu!! Moto wa jehannum upo kuwasubiri walevi, Yesu anaokoa ukija Kwake atakuokuoa!! Na hicho kiu cha pombe kitaondoka
 
Acha ujinga wa kutoa mijumuisho bila ushahidi wowote wa maana. Umefanya utafiti lini, wapi na kwa nani hadi kuja na hitimisho hili jumla na uchwara? Kesho utasikia eti wanaovuta sigara au bangi nao wanawazidi fedha wasiofanya hivyo. Ni aibu mwanangu.
Mzee wa soda naona povu kama lote.
Wanywaji hatunaga kisilani kama wewe.
 
Mnaiba pesa kwenye vipochi au droo za wake zenu mnaenda nunua gongo au mnazi hilo tushajua sana.

Wengi walio kaa stuli ndefu huwa wanajidanganya sana eti deals za pesa zipo bar.
Siyo miaka hii mzee.
 
Hata nyie wasengenyaji na wazinzi unawasubiri
 
Acha ujinga wa kutoa mijumuisho bila ushahidi wowote wa maana. Umefanya utafiti lini, wapi na kwa nani hadi kuja na hitimisho hili jumla na uchwara? Kesho utasikia eti wanaovuta sigara au bangi nao wanawazidi fedha wasiofanya hivyo. Ni aibu mwanangu.

Kumbe Ndio maana huna akili. Nimegundua Leo why huna akili.
 
Tatizo la nyie msiokunywa mnajikuta malaika ghafla ..wakati ndiyo washenzi kabisa...tunaona huku mitaani jinsi familia zenu zinavyoteseka na uzinzi wenu
 
Mnaiba pesa kwenye vipochi au droo za wake zenu mnaenda nunua gongo au mnazi hilo tushajua sana.

Wengi walio kaa stuli ndefu huwa wanajidanganya sana eti deals za pesa zipo bar.
Siyo miaka hii mzee.
Deals zote kubwa za maana zinapangwa Bar....kwani pale ndipo watu wanapofunguka na kutoa uamuzi mgumu...kwa mfano ukitaka uingize nchi gizani, ili watu wafanye biashara zao za majenereta nk ni rahisi zaidi kufanya hii mipango baa na inakubalika mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…