Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Habari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.

Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli? wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo mfu haya. Acha kumdanganya mkeo au mume wako mwenye fikra mbilikimo kama zako[emoji851][emoji851][emoji851]
 
kinachofanya mnakuwa mada sio utajiri au umasikini wenu,ni matendo yenu baada ya kulewa.

yaani pombe huwa haibaki kuwa starehe yenu peke yenu,bali kero kwa wasiokunywa.
sasa nyie msiokunywa mbona hamnaga maendeleo ya ajabu..huwa mnapeleka wapi hela zenu? ......halafu mademu zenu wanalalamika sana kwamba pamoja na kwamba pombe hamnywi ,maendeleo hakuna halafu nyumbani hamlalagi au mnarudi usiku mnene..huwa mnakuwaga wapi wakati hampigi GAMBE?
 
Unajisifia dhambi???? Hivyi unajua kwamba kuna maisha baada ya haya, huo ulevi wewe furahia lakini jua kwamba mda na wakati usioutegemea utajikuta mbele za Mungu!! Moto wa jehannum upo kuwasubiri walevi, Yesu anaokoa ukija Kwake atakuokuoa!! Na hicho kiu cha pombe kitaondoka
 
Acha ujinga wa kutoa mijumuisho bila ushahidi wowote wa maana. Umefanya utafiti lini, wapi na kwa nani hadi kuja na hitimisho hili jumla na uchwara? Kesho utasikia eti wanaovuta sigara au bangi nao wanawazidi fedha wasiofanya hivyo. Ni aibu mwanangu.
Mzee wa soda naona povu kama lote.
Wanywaji hatunaga kisilani kama wewe.
 
ndio mawazo yen wote ndio maana sitaki kujibizana na nyie, chenchi za mwanamke oohshit men, yaani pesa ya matumizi au? ndio maana siwalaumu maana najua mkipata pesa mtajua namna ya kuishi unaibaje pesa kwa mwanamke na unaiba bank au mezan shit

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaiba pesa kwenye vipochi au droo za wake zenu mnaenda nunua gongo au mnazi hilo tushajua sana.

Wengi walio kaa stuli ndefu huwa wanajidanganya sana eti deals za pesa zipo bar.
Siyo miaka hii mzee.
 
Unajisifia dhambi???? Hivyi unajua kwamba kuna maisha baada ya haya, huo ulevi wewe furahia lakini jua kwamba mda na wakati usioutegemea utajikuta mbele za Mungu!! Moto wa jehannum upo kuwasubiri walevi, Yesu anaokoa ukija Kwake atakuokuoa!! Na hicho kiu cha pombe kitaondoka

Hata nyie wasengenyaji na wazinzi unawasubiri
 
Acha ujinga wa kutoa mijumuisho bila ushahidi wowote wa maana. Umefanya utafiti lini, wapi na kwa nani hadi kuja na hitimisho hili jumla na uchwara? Kesho utasikia eti wanaovuta sigara au bangi nao wanawazidi fedha wasiofanya hivyo. Ni aibu mwanangu.

Kumbe Ndio maana huna akili. Nimegundua Leo why huna akili.
 
Unajisifia dhambi???? Hivyi unajua kwamba kuna maisha baada ya haya, huo ulevi wewe furahia lakini jua kwamba mda na wakati usioutegemea utajikuta mbele za Mungu!! Moto wa jehannum upo kuwasubiri walevi, Yesu anaokoa ukija Kwake atakuokuoa!! Na hicho kiu cha pombe kitaondoka
Tatizo la nyie msiokunywa mnajikuta malaika ghafla ..wakati ndiyo washenzi kabisa...tunaona huku mitaani jinsi familia zenu zinavyoteseka na uzinzi wenu
 
Mnaiba pesa kwenye vipochi au droo za wake zenu mnaenda nunua gongo au mnazi hilo tushajua sana.

Wengi walio kaa stuli ndefu huwa wanajidanganya sana eti deals za pesa zipo bar.
Siyo miaka hii mzee.
Deals zote kubwa za maana zinapangwa Bar....kwani pale ndipo watu wanapofunguka na kutoa uamuzi mgumu...kwa mfano ukitaka uingize nchi gizani, ili watu wafanye biashara zao za majenereta nk ni rahisi zaidi kufanya hii mipango baa na inakubalika mara moja
 
Back
Top Bottom