Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Nakubaliana na wewe ila wengi ambao wapo kwenye kundi hili ni wale wanaotolewa ofa acha nijisemee Mimi I only drink at special deiz and event like after accomplish some deals so hii hua ni kwa mwezi mara 1 au hata mara 1 baada ya miez mitatu ili niende sawa na vibe ya watu ntakaokua nao na sijawahi kuona tukimkera mtu me and my fam we just doing gud and mind our own biznec after few whiskey ila wale wanaolewa kwa ofa ndo hua Wanamaliza uchu wao wote siku hiyo hyo mwishowe kudhalilika
 
ukishawachapa wanywa gongo halafu unapata hela au bado unabakia lofa?
Wenyewe ni malofa kupindukia.

Ukienda Bar wanunuzi hawazidi 10, wengi ni omba omba wa kununuliwa mwisho wa siku wanapelekewa moto
 
walevi wanapigania haki zao siyo
 
Unajiita mnywaj alafu unakunywa bia tatu za buku jero buku jero wastage of times
 
acha mkurupuko mkuu nyie ndio mmekaririshwa mambo ya uongo na iman za kiduanzi ni wapi pameandikwa pombe ni dhambi, dhambi ni ulevi ila sio pombe, pombe ni kinywaji tu kama soda na maji ukinywa alafu ukaenda zako kanisani ukakaa kwa upole ukahubiri mambo mema na ukayajua majukumu yako kosa lako hapo ni lipi? watu wanashindwa kujua kuwa dhambi ni matokeo ya pombe ila sio pombe na hayo matokeo sio lazima yatokee kwa kila mtu, mimi napiga zangu bia na nikitoka naenda zangu maskani najilalia sina time na mtu wala sina ugomvi kwanza nikinywa ndio care inaongezeka mara2 ya awali kwa familia yangu sasa hapo dhami ni ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la nyie msiokunywa mnajikuta malaika ghafla ..wakati ndiyo washenzi kabisa...tunaona huku mitaani jinsi familia zenu zinavyoteseka na uzinzi wenu
hata huo uzinzi ni sifa tu mnawapa yaani hawana pesa utakuta wamevaa mashati ya chama cha mapinduzi na biki kwenye mifuko ya mashati mifukoni vumbi tupu hamna hela kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hicho unajitambua, ila nakusihi acha pombe tu mkuu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kama ni hicho unajitambua, ila nakusihi acha pombe tu mkuu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Advice well taken mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…