Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
ukishawachapa wanywa gongo halafu unapata hela au bado unabakia lofa?Mimi ninachokumbuka, nimechapa sana walevi. Nilikuwa nawatandika sana bakora mpaka wanakimbia 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukishawachapa wanywa gongo halafu unapata hela au bado unabakia lofa?Mimi ninachokumbuka, nimechapa sana walevi. Nilikuwa nawatandika sana bakora mpaka wanakimbia 🤣🤣
Nakubaliana na wewe ila wengi ambao wapo kwenye kundi hili ni wale wanaotolewa ofa acha nijisemee Mimi I only drink at special deiz and event like after accomplish some deals so hii hua ni kwa mwezi mara 1 au hata mara 1 baada ya miez mitatu ili niende sawa na vibe ya watu ntakaokua nao na sijawahi kuona tukimkera mtu me and my fam we just doing gud and mind our own biznec after few whiskey ila wale wanaolewa kwa ofa ndo hua Wanamaliza uchu wao wote siku hiyo hyo mwishowe kudhalilikaTatizo sio unywaji wenu bali ni kero zenu baada ya kunywa! Mnatukera hata bao hatunywi. Wanywaji wa pombe ni watu wa ovyo sana muda mwengine kwani wapo baadhi baada ya kunywa wanafanya vitendo vya kuwashushia heshima mbele ya jamii, vitendo ambavyo hata watoto hawawezi kufanya, ilhali nyie ni wazima. Just imagine mtu mzima unakunywa pombe hadi unajikojolea, na haitoshi wengine wanakunywa hadi wanajinyea mbali wanaopasuliwa yai baada ya kunywa pombe hadi kuangusha gari
Wenyewe ni malofa kupindukia.ukishawachapa wanywa gongo halafu unapata hela au bado unabakia lofa?
Mmea? Uko bien sana.Hata mseme nini mimi pombe sinywiiii.Ila hua natamani sana nijaribu ile kitu ya Arusha.
wtu wanapiga gambe na wako vizur sana mkuuHujawahi ona. Endelea KUISHI vijijini nmla kasoda kako
Oh nilidhani unazungumzia walevi wote kumbe unaongelea wa Masaki tu. So wa buza wehu?ndio mnavyojiamini maana mnaishi uswahilini mshazoeana na hao wehu wa huko buzz
Sent using Jamii Forums mobile app
walevi wanapigania haki zao siyoHabari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.
Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli?
Wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? Yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha mkurupuko mkuu nyie ndio mmekaririshwa mambo ya uongo na iman za kiduanzi ni wapi pameandikwa pombe ni dhambi, dhambi ni ulevi ila sio pombe, pombe ni kinywaji tu kama soda na maji ukinywa alafu ukaenda zako kanisani ukakaa kwa upole ukahubiri mambo mema na ukayajua majukumu yako kosa lako hapo ni lipi? watu wanashindwa kujua kuwa dhambi ni matokeo ya pombe ila sio pombe na hayo matokeo sio lazima yatokee kwa kila mtu, mimi napiga zangu bia na nikitoka naenda zangu maskani najilalia sina time na mtu wala sina ugomvi kwanza nikinywa ndio care inaongezeka mara2 ya awali kwa familia yangu sasa hapo dhami ni ipiUnajisifia dhambi???? Hivyi unajua kwamba kuna maisha baada ya haya, huo ulevi wewe furahia lakini jua kwamba mda na wakati usioutegemea utajikuta mbele za Mungu!! Moto wa jehannum upo kuwasubiri walevi, Yesu anaokoa ukija Kwake atakuokuoa!! Na hicho kiu cha pombe kitaondoka
Nigawie basiMmea? Uko bien sana.
Try it.... 😂
hata huo uzinzi ni sifa tu mnawapa yaani hawana pesa utakuta wamevaa mashati ya chama cha mapinduzi na biki kwenye mifuko ya mashati mifukoni vumbi tupu hamna hela kabisaTatizo la nyie msiokunywa mnajikuta malaika ghafla ..wakati ndiyo washenzi kabisa...tunaona huku mitaani jinsi familia zenu zinavyoteseka na uzinzi wenu
Kama ni hicho unajitambua, ila nakusihi acha pombe tu mkuu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Nakubaliana na wewe ila wengi ambao wapo kwenye kundi hili ni wale wanaotolewa ofa acha nijisemee Mimi I only drink at special deiz and event like after accomplish some deals so hii hua ni kwa mwezi mara 1 au hata mara 1 baada ya miez mitatu ili niende sawa na vibe ya watu ntakaokua nao na sijawahi kuona tukimkera mtu me and my fam we just doing gud and mind our own biznec after few whiskey ila wale wanaolewa kwa ofa ndo hua Wanamaliza uchu wao wote siku hiyo hyo mwishowe kudhalilika
Advice well taken mkuuKama ni hicho unajitambua, ila nakusihi acha pombe tu mkuu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Usiniambieee!! We're on the same boat! Itabidi nikualike maskani one day!Mmea? Uko bien sana.
Try it.... [emoji23]
Chibuku halafu anafungua na uzi, akinywa Jackdaniel si atatukana watu wote?[emoji1787][emoji1787]Huwa unapiga bia gani mkuu?
Ngapi kwa siku?