Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli pombe haijwahi kuleta umaskini hata siku moja, labda kama unasema wanywa gongo hataivo na wao kabla hajaenda kwenye gongo tayari ni maskin wa kutupwa.Pombe haina faida yeyote sijawai ona mwisho wa mlevi ukiwa mzuri
Mwisho wake ni maradhi
Na umasikini
Mkuu, omba mungu yasikukute hakuna ajuaye chanzo cha magonjwa makubwa haya yanatoka wapi, hata hao samaki, kuku, nyama, maji, mafuta ya kujipaka au kula yaweza kukuletea kansa,Nakusikitikia ewe mnywa pombe.
Kansa yakungoja. Acha sasa kabla its too late.
Huwa unakaa na vibaka wenzio.Njoo unitafute mimi!Nawajua walevi kibao hawana hata hela na hua najiuliza wanalewaga na nini wakati kila siku familia zao zinalalamika hawazihudumii.
Au ndo wanaona bora wakanywee watoto wakose huduma nzuri?
Gusa ulie.Na kitandani mnakuwa smart vilevile kama rough rider,..😏
Ndio tatzo linapooanzia kukaririshana kuwa pombe ni dhambi na kati dhambi ni matokeo ya pombe na sio kila anaekunywa lazima afanye hayo matokeo ambayo kimsingi ndio dhambi, kuna watu tukipiga gambe ndio tunadevelop wisdomYaani nijinywee vibia vyangu nirudi homu halafu anatokea mpumbavu ananiambia dhambi.Dhambi iko wapi hapo Sasa?!
Kipi kimekufanya Uniite kibaka?Huwa unakaa na vibaka wenzio.Njoo unitafute mimi!
VILEVILE KWAKO WEWE MNYWA SODA, KIFO KINAKUSUBIRI NA HUKIKWEPINakusikitikia ewe mnywa pombe.
Kansa yakungoja. Acha sasa kabla its too late.
walevi wote motoniVILEVILE KWAKO WEWE MNYWA SODA, KIFO KINAKUSUBIRI NA HUKIKWEPI
What Is Fatty Liver?Ndio maana nikasema alcohol inajenga ini. Inalifanya linakuwa na mafuta mengi (fatty liver). Google "fatty liver" utajua maana yake.
WE ULISIKIA WAPIwalevi wote motoni
Hili dongo noma Sana. Nimecheka Sana kuhusu shati la mikono mirefuhaya madharau ndio mnayo ila hamna kingine let atime talk miaka 40 haunywi pombe na hauna gari wala nyumba unaishia kuchomekea shati la mikono mrefu na brabra mingi kushiriki vikao vya kijiji wewe ndio mchangiaji na kuvaa mashati ya msaada ya chama cha mapinduzi utakuta kimtu kimebaa shati mgongoni kina picha lusinde are you seruous?
Sent using Jamii Forums mobile app
wanatia hasira hawa jamaa yani unakuta mtu kavaa shati linapicha ya Antony mavunde alafu anajiona special sanaHili dongo noma Sana. Nimecheka Sana kuhusu shati la mikono mirefu
Haiwezekani farasi akagundua kuwa binadamu tena Father of All hana akili. Haiwezekani, haitawezekana, Haiwezekani kabisa.Kumbe Ndio maana huna akili. Nimegundua Leo why huna akili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona hata nami nakunywa?Mzee wa soda naona povu kama lote.
Wanywaji hatunaga kisilani kama wewe.