Wanaume mtaendelea kulogwa msipoacha haya ....

Nimesikiliza hii crip cha zaidi ni ujinga na kutojitambua we utamlogaje mwanaume asiye na kazi maalumu awe kama ndondocha wa kukaa tu nyumbani then unaingia gharama nyingine za kumlisha na kumvisha, mswahili ni mswahili tu yeye kinachomsumbua ni mapenzi tu especially ngono wenzao wa bara wanalogwa watafute Mali kwa ajili ya wake/wapenzi wao, huku pwani wao wanaloga mwanaume asitoke ndani! Kwa mpango huu sahau kitu ķinachoitwa maendeleo HII video ni aibu wala si ya kuendelea kuionyesha itaweka taswira mbaya kwa wanawake,dada na mama zetu wa kitanzania! Na wala haiwakilishi hasira za kina dada baada ya kutendwa.
 
Falsafa yangu ni uchawi tosha!
Huwezi ibadilisha hata upige madogoli usiku kucha haha love bewitched!!!
 
Mkuu
Wanawake wa kuoa wako wengi sana na wanajielewa. Hawa wanawake wa mitandaoni wana akili fupi.
mkuu hao wanawake unaosema wewe wakijiunga na mtandao tayari ni wa mtandaoni so ndo walewaleeee
 
Hahahaaaa mtasubiri sana aisee... Hta nyie naona mnakujaga na malalamiko yenu mara kibwena tu
 
Kwani wanaume ndio hawajui njia za kwenda kuroga..? Afu kibaya zaidi wataalamu wengi ni wanaume.
 
Nawachukia wanaume washenz wa hakir kama hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…