Wanaume mtaendelea kulogwa msipoacha haya ....

Wanaume mtaendelea kulogwa msipoacha haya ....

Wengine wanajishikisha hadi mimba ili kumtega mwanaume amuoe Kwa lazima [emoji87][emoji87][emoji87] Raha ya ndoa ni zaidi ya kuwa na watoto! Utamzalia watoto mwisho wa Siku maneno na vituko atakavyokufanyia utasema Ni kitu gani! However kuwa watoto ni vizuri sana lakini siyo Kwa kumtega Mtu wakati hakuwa amepanga kukuoa! " imeandikwa " enyi binti Sayuni msiyachochee mapenzi mpaka yatakapoona yenyewe kuwa ni vema" lakini mtaani Ofisini watoto wa field macho Juu Juu na Nguo za uchi za mitego huku wakiwa wamejipodoa over ! Kumbe wangejua wanaume wengi hupenda mabinti ambao they are most simplest and respectful , sorry nimetoa Siri [emoji85] wasije waka pretend!
 
Bahati nzuri mi kabla sijazama deep kwenye mahusiano huwa tunaapiana hatutofanyiana mambo za kugeuzana mazezeta wala machizi pale itakapotokea shetani kapita katikati yyetu....hivyo nna aman taslim kuwa SITOROGWA na Mwanamke labda tu kama nitakutana na Xambaye atakuwa mtoto wa mganga.
Kwa uhakika zaidi ma X wangu naongea nao vizuri tuJana Leo kesho na hata milele tena Kiroho swaaafi!
 
Wanawake ndio mliologwa.... Ujinga mnaoufanya ni ishara kuwa mmelogwa.

#1. Unatembea uchi kama mnyama ... Hii ni ishara kuwa umelogwa. Mtu mwenye akili hawezi kufanya huo Ujinga.


#2. Mnadanganywa kwa Chips na Kuku mnagongwa.. Hii ni ishara kuwa mmelogwa...


Wanawake mmelogwa na mtoto mdogo . Itabidi msubiri hadi akue ili awatibu
 
mbona kwenye maandiko ya kiimani tunaaminshwa ya kwamba huko mwanzo mwanamke ndio aliyekinukisha kule bustanini aden..??.. na ndio dunia ya mapenzi leo hii KE ndio wameibidua upside down..??.. watu hawapoi kwa ajiri ya KE....
na nyie mjitathmini bhana..
 
Hahaha siku nikigundua unanililoga sijui ntakufanyaje kwakweli,hivi kweli siku nigundue unanitengeza kwa waganga bado niendelee kulala na ww kitanda kimoja ni ujinga kiwango cha lami
 
Naomba uandike usia kwenu wakianza kuku ona unacheka cheka wajue tayar

Au haujaskiliza video vzuri

Penny kucheka kupo kwa aina nyingi, na kunatofaut kati ya kucheka na kufurah hao waliorogwa wanachek ila cc wengine tunafurah
 
Wanaume mnalipia vbaya kuweni macho jamani

Kama kuna mwanaume aliemwumiza vbaya mwanamke huku duniani na mwanamke akaamua kuambia jamii nzima jinsi alivyoumizwa, huyo mwanamke Mungu ambariki lakini sio asee mpaka naona huruma

Ndio wanaume walivuruga sana mama zetu, dada zetu huko nyuma, lakini Dhambi ya kumvuruga mwanamke ni mbayaaa, bora umvuruge mnyama kuliko mwanamke

Wazungu wanasema one woman's trash is another woman's tressure! Lakini trash haijawahi kuwa cleaned ndio hio inayoleta matatizo kwa wanaume hivi leo wanakuja na vilio wanawake wa kuoa amnaaa, wanawake wanapenda helaaaa, wanawake hawafugiki wanapenda mteremkoo. wanawake hawajatuliaaa hii yote ni kwasababu mjinga mmoja wa kiume alimwumiza mwanamke m1 tu sumu ikasambaa mpaka kwa vizazi vya 5 ndio akina mimi na wewe

Nchi za ulaya ya Europe akina Norway, Finland, wanaume walianzaga michezo ya kuwaumiza wanawake wanawake wakaambiana buana, ikafika mahali wanawake wakagoma kuzaa, miaka ikasogea serikali ikaona nchi yao haina wazawa, wakafanya Urafiki wakaambiwa wanawake wamegoma kwasababu hii na hii na wanaume ndio chanzo kama hawatabadilika hatutazaa

Serikali ikaweka Beijing pale ikawasikiliza, sasa hivi huwezi cheza na mwanamke wa kizungu, hiyo punishment yake utajutaa kuzaliwa mwanaumee

Me nawaombeni wanaume wa kiTanzania mliobaki mtubu Dhambi za baba zenu kwa Mungu wa Mbinguni na mbadilike otherwise mtakuwa mnalia tuuu hamna wa kuoa hamna wa kuoa mpaka Yesu anarudi nyie kazi zenu ni kujipiga bao tu mwisho wa siku unakuwa mngese kwisha habari yako

No man is an island unafikia tu point unataka kuoa lakini kwasababu ulivuruga unakosa kuoa mke mzuri unaishia kupata design ya uliowavuruga mwanzo afu unalalamika, Jeesooos!

Sasa wanawake skuhizi wamekuja na itikadi mpyaaa, baada ya kuona wanaume wanaendekeza michepukooo (side chic, side piece), ndani ya ndoa kunanuna nje ya ndoa kunacheka

Ni vile tu wanaume hawajui wanawake wakishaambizana vitu vya hushikilia milele

Isikilize hii video ujionee muujiza wa itikadi mpya wa wanawake juu ya wanaume yeleuuuwi



Msicheze na wanawake, ni maji ya moto hao ohooo

sawaaa
 
Ahahaha ha
Bro mbona unaongea sana au ndio tayar
Nikuulize upo kwenye rlshp na mtu sasa mwaka au miezi mingap?!
Kitu gan ambacho unamfanyia yeye tu wengine huwafanyii
Kama yapo ujue mzee ushalishwaaa
Hahahaaaaa mi namwambiaga LIMBWATA kwetu ni mwiko na zinapunguzaga nguvu za kiume basi anaogopaaaaa!! bahati nzuri Huyu MTU alikuwa rafiki tu tena nilie kuwa napokea ushauri mbalimbali kutoka kwake hasa mahusiano,tena ananijua A to Z na ndo mama angalau tumeiva 4
 
hamuwezi shindana na sisi tutakula tutasepa, tutawapotezea muda,tutawaumiza tutawapenda tutawaoa yote hayo tunaweza yafanya ...
 
Back
Top Bottom