Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Wanaume mnalipia vbaya kuweni macho jamani
Kama kuna mwanaume aliemwumiza vbaya mwanamke huku duniani na mwanamke akaamua kuambia jamii nzima jinsi alivyoumizwa, huyo mwanamke Mungu ambariki lakini sio asee mpaka naona huruma
Ndio wanaume walivuruga sana mama zetu, dada zetu huko nyuma, lakini Dhambi ya kumvuruga mwanamke ni mbayaaa, bora umvuruge mnyama kuliko mwanamke
Wazungu wanasema one woman's trash is another woman's tressure! Lakini trash haijawahi kuwa cleaned ndio hio inayoleta matatizo kwa wanaume hivi leo wanakuja na vilio wanawake wa kuoa amnaaa, wanawake wanapenda helaaaa, wanawake hawafugiki wanapenda mteremkoo. wanawake hawajatuliaaa hii yote ni kwasababu mjinga mmoja wa kiume alimwumiza mwanamke m1 tu sumu ikasambaa mpaka kwa vizazi vya 5 ndio akina mimi na wewe
Nchi za ulaya ya Europe akina Norway, Finland, wanaume walianzaga michezo ya kuwaumiza wanawake wanawake wakaambiana buana, ikafika mahali wanawake wakagoma kuzaa, miaka ikasogea serikali ikaona nchi yao haina wazawa, wakafanya Urafiki wakaambiwa wanawake wamegoma kwasababu hii na hii na wanaume ndio chanzo kama hawatabadilika hatutazaa
Serikali ikaweka Beijing pale ikawasikiliza, sasa hivi huwezi cheza na mwanamke wa kizungu, hiyo punishment yake utajutaa kuzaliwa mwanaumee
Me nawaombeni wanaume wa kiTanzania mliobaki mtubu Dhambi za baba zenu kwa Mungu wa Mbinguni na mbadilike otherwise mtakuwa mnalia tuuu hamna wa kuoa hamna wa kuoa mpaka Yesu anarudi nyie kazi zenu ni kujipiga bao tu mwisho wa siku unakuwa mngese kwisha habari yako
No man is an island unafikia tu point unataka kuoa lakini kwasababu ulivuruga unakosa kuoa mke mzuri unaishia kupata design ya uliowavuruga mwanzo afu unalalamika, Jeesooos!
Sasa wanawake skuhizi wamekuja na itikadi mpyaaa, baada ya kuona wanaume wanaendekeza michepukooo (side chic, side piece), ndani ya ndoa kunanuna nje ya ndoa kunacheka
Ni vile tu wanaume hawajui wanawake wakishaambizana vitu vya hushikilia milele
Isikilize hii video ujionee muujiza wa itikadi mpya wa wanawake juu ya wanaume yeleuuuwi
Msicheze na wanawake, ni maji ya moto hao ohooo
We nawe huelewek unataka nn sasa