Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

Wengine hata bila kufirisika ni shida!
 
Mimi sijazingatia sana anacho kisema lakini Maoni yangu ni kuwa Kasi ya Ongezeko la Single Maza inatisha mtaani kumekuwa kwa hovyo sana.
Kweli hali na mbaya sana na hapa nashuhudia another single maza on the way to ndugu zake 😢!.
 
Back
Top Bottom