Aahaaha
Sahihi kabisa, wanawake wasomi wanazingua sana.
Kataa ndoa Linda uchumi wako
Mimi sijazingatia sana anacho kisema lakini Maoni yangu ni kuwa Kasi ya Ongezeko la Single Maza inatisha mtaani kumekuwa kwa hovyo sana.
Jamani naomba connection zake huyu mdada