Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Una akili kama za masheikhe wanaopenda wanawake wasio na elimu wala maendeleo, kila kukicha wanawaletea wake zao wake wenza na kusingizia dini inawaruhusu. Ushawahi kuona sheikhe anaoa mwanamke aliyesoma au anayejitambua akili?Kuishi na mwanamke mwenye Elimu kubwa kukuzidi au mwenye pesa kuliko wewe utamuona shetani na jehanamu ukiwa duniani
Huyu kapasua A amefundwa na akafundika
Umeandika upuuzi mtupuUna akili kama za masheikhe wanaopenda wanawake wasio na elimu wala maendeleo, kila kukicha wanawaletea wake zao wake wenza na kusingizia dini inawaruhusu. Ushawahi kuona sheikhe anaoa mwanamke aliyesoma au anayejitambua akili?
Nimekuuliza na hujajibu kituUmeandika upuuzi mtupu