Hahahahaha ndiyo ukweli mkuu.Hahahahaa sio mzima we binti.
Miezi sita mkuu.hahah....utatoa tu ndani ya wiki
Siwezi tongoza mrembo anikatae afu nimtukane, hao wanaume ni wajinga sanaMwenza acha tu. Halafu limtu hata huwazi kulipa hata hug ya juu juu. Limetongoza limekataliwa linaanza kuweweseka.
Na hayuko mmoja. Kuna kikundi cha mataahira huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap possibly!! But is hard to find them, You'll always get the other kind.Sio wanaume wote wako hivyo. Still there a decent men out there
Haiwezekaniiii! Nasema HAIWEZEKANI.Hahahahaha hahah uje Mbez beach kupiga story kweli?
Aiseeh [emoji848]Tangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa!Mlale kitanda kimoja na hakuna kinachoendelea? Mwanaume kamili au wale wengine hahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah una akili hadi unaboa yani.Most of Men hili hawalijui.
Mwanamke huwa tayar kuvua chupi baada ya miezi mitatu nakuendelea.
Kwasababu nyie mnasex kihisia sanaaaa.
hahahhaMiezi sita mkuu.
Lazima nikuzungushe
Swali zuri Sana hili, kama kichwani ulishapanga lazima mgegedane haina haja ya kusema sijui kuonana Siku ya kwanza au ya pili.Iv ukimzungusha mwanaume au ukampa kesho yake ndo atakuoa?!
Unajua mtu anaweza akaandika kitu kikafanya hata ile heshima ndogo ulihokuwa unampa usimpe tena.
Kutoka kwangu au?? Nipe jina ambalo ntakuita pke yangu hapa JF
Ni shida aiseeUnajua mtu anaweza akaandika kitu kikafanya hata ile heshima ndogo ulihokuwa unampa usimpe tena.
Nimeshtuka kwakweli
Yaani silipendi tu, niite vyovyote ila sio mkuu au niite tu KhantweKutoka kwangu au?? Nipe jina ambalo ntakuita pke yangu hapa JF
And the way I like your English.Yap possibly!! But is hard to find them, You'll always get the other kind.
SawaaaaaaaaYaani silipendi tu, niite vyovyote ila sio mkuu au niite tu Khantwe
Sent using Jamii Forums mobile app