Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app


Huyu alikuwa na nyege tu za nzi....ni bora machale yamekucheza maana ungempa wala usingemuona kesho yake anakusalimia.
 
Iv ukimzungusha mwanaume au ukampa kesho yake ndo atakuoa?!
Swali zuri Sana hili, kama kichwani ulishapanga lazima mgegedane haina haja ya kusema sijui kuonana Siku ya kwanza au ya pili.

Hapo inaoneshe hakuwa tayari kumpa papa tu. Angekuwa tayari asingejizungusha sijui kuonana Siku ya kwanza na kulala pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom