Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Haraka ya nini na huku ndege wa kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye ndege wa kwako hao ndo panaharakisha...Fikiria
1. Amesafiri 700km --- halafu apige stori tu
2. Anracha papa ngapi huko aje kwako then umletee maruweruwe
3. Wakati anatoka Arusha, huku wewe na yeye mkijua ndege ni wake, kwa nini asikatae kulala guest?
 
Alijua anakula mzigoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama nakuona alivyopiga mazoezi au kumeza viagra halafu ubao unasoma bila bila😹😹😹😹
 
Kosa ni kukutana naye hapo kwako akaona kuliko kuingia gharama za guest house alale kwako maana upo peke yako
 

Huu nao ni ujinga wa kiwango cha fly over. Mimi kama nakuja basi lazima tuwe tumekubaliana hilo kwanza maana najua kitakachotokea, na kama hutaniruhusu kulala waote siji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…