Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mmekua mnawasiliana kwa muda mrefu...

Kiutu uzima hapo ulitakiwa kuelewa kwamba jamaa kasafiri km zote hizo kuja kufanya matusi na wewe na wala siyo story zako...


Cc: mahondaw
 
Haraka zake tu huenda angepewa siku zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa, na mapenzi sio lazima kusex ,sex huja baadae baada ya kuzoeana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifanyagi huo uzwazwa wa kwenda kwa demu on first date huku nikiwa na lengo la kumla. Nitaomba tukutane guest,au uje kwangu. Depends on how i perceive u. Nikikuona cheap, GUEST. Nikikuona una afadhali, GHETONI.
First date ukienda kwenye gheto la msichana mwenye afadhali, probability ya kuwin mchezo ni 0.0000000001
Ila kwa wale wasichana cheap, probability ni 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…