Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mmekua mnawasiliana kwa muda mrefu...

Kiutu uzima hapo ulitakiwa kuelewa kwamba jamaa kasafiri km zote hizo kuja kufanya matusi na wewe na wala siyo story zako...


Cc: mahondaw
 
Mwanaume anafunga safari na kukufuata ulipo anachowaza kichwani kwake ni bakuli la asali tu..mengine hua ni ziada..sasa uamwambia akalale nyumba ya wageni na stim zimeshampanda na style za kitombo ameshazijenga kichwani mwake ..kununa lazima bana..hata ningekua mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haraka zake tu huenda angepewa siku zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana bhana, ujamtea haki huyo jamaa.

Afu unaweza kuta hata akuwaza mambo ya mgegedo, sema baada ya kukuona sasa ulivyonona, toto toto, kisamvu ndio usiseme.....kwanini akili zisimluke jamani!!!! Kwaio ungemtendea haki tu...afu kumbuka ni dhambi, kumnyima mtu kitu ambacho unacho.

Note: nakuibia hii siri leo.....
Ukiona mwanaume mwenye akili zake timamu, amefunga safari ya masafa marefu like mkoa kwa mkoa, ili kukupata wewe.....jua huyo mtu, kafa kaoza kwako. Amekupa value kubwa sana....maana sisi wanaume tunakuwaga very selective hasa linapokuja suala la kudate na mwanamke aliyepo mbali.

Ila hakikisha amekuja kwa ajili ya kuonana na wewe tu, asije akakudanganya kwamba amekufata wewe...kumbe amefata mishe zake. UTAKUWA HAUNA BAHATI DADA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa, na mapenzi sio lazima kusex ,sex huja baadae baada ya kuzoeana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifanyagi huo uzwazwa wa kwenda kwa demu on first date huku nikiwa na lengo la kumla. Nitaomba tukutane guest,au uje kwangu. Depends on how i perceive u. Nikikuona cheap, GUEST. Nikikuona una afadhali, GHETONI.
First date ukienda kwenye gheto la msichana mwenye afadhali, probability ya kuwin mchezo ni 0.0000000001
Ila kwa wale wasichana cheap, probability ni 1.
 
Back
Top Bottom