Wanaume muda mwingine wanaboa sana

ss kwa nn umnyime?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa.

Alitaka nanii.
 
Hakuna defined rules za hii game, but ni kosa mwanaume kufunga safari kwenda kumtembelea mwanamke siku ya kwanza ukitaka ugongee kwake.

Ni kujipeleka ugenini kucheza match ambayo hata hujui kama itakuwa fair au la, na unajikuta huna control ya mchezo. Kwanza ni hatari kiusalama, una uhakika gani kama hajapangishwa na mwanaume, ukikutwa itakuwaje?

Ingia gharama ya kumleta kwako, nauli ya one way KM 720 ni kwenye 40, bora iondoke hiyo kuliko wewe unaenda na unajiweka hatarini kiusalama. Ila ukituma 40 akaja hiyo game unaichezesha wewe, kamisaa unapanga wewe, adui akiomba kusogeza siku utajua pa kumtight tu.

NOTE: Ikitokea nikafunga safari kama hiyo nikatoswa, hata mimi ningetafuta pa kulala napojua.
 
Asa tatizo liko wap hapo jmn yani nichome nauli kuja kukusalimia ww ni mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmekua mnawasiliana kwa muda mrefu...

Kiutu uzima hapo ulitakiwa kuelewa kwamba jamaa kasafiri km zote hizo kuja kufanya matusi na wewe na wala siyo story zako...


Cc: mahondaw

Hahaha.. kweli kabisa... labda awe hajakukubali ndo analeta Story
 
Jamaa katoka igurusi Mbeya huko paaaap dar hiyooooo, mara paaaaaaap mzigo huoooo afu ooh kalale guest house maviiii ya popoooo thubutuuuuu huyo atakua sio mwanaume aiseeee.
 
Hatareeee sheikh....
 
Sheikh hatare sana unaambiwa
 
Kwani alichokifanya huyu dada ni kinyume na haki za binadamu, ilitakiwa aende ofisi za ustawi wa jamii ili wamlazimishe demu atombwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…