Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
ss kwa nn umnyime?

Sawa sawa.

Alitaka nanii.
 
Hakuna defined rules za hii game, but ni kosa mwanaume kufunga safari kwenda kumtembelea mwanamke siku ya kwanza ukitaka ugongee kwake.

Ni kujipeleka ugenini kucheza match ambayo hata hujui kama itakuwa fair au la, na unajikuta huna control ya mchezo. Kwanza ni hatari kiusalama, una uhakika gani kama hajapangishwa na mwanaume, ukikutwa itakuwaje?

Ingia gharama ya kumleta kwako, nauli ya one way KM 720 ni kwenye 40, bora iondoke hiyo kuliko wewe unaenda na unajiweka hatarini kiusalama. Ila ukituma 40 akaja hiyo game unaichezesha wewe, kamisaa unapanga wewe, adui akiomba kusogeza siku utajua pa kumtight tu.

NOTE: Ikitokea nikafunga safari kama hiyo nikatoswa, hata mimi ningetafuta pa kulala napojua.
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Asa tatizo liko wap hapo jmn yani nichome nauli kuja kukusalimia ww ni mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmekua mnawasiliana kwa muda mrefu...

Kiutu uzima hapo ulitakiwa kuelewa kwamba jamaa kasafiri km zote hizo kuja kufanya matusi na wewe na wala siyo story zako...

Cc: mahondaw

Hahaha.. kweli kabisa... labda awe hajakukubali ndo analeta Story
 
Jamaa katoka igurusi Mbeya huko paaaap dar hiyooooo, mara paaaaaaap mzigo huoooo afu ooh kalale guest house maviiii ya popoooo thubutuuuuu huyo atakua sio mwanaume aiseeee.
 
Safi sana ,you are such a Good girl.

Nafaham mpaka naww unamuita kwako niwazi kua "Umeshanogewa naye na ulikua tayar kumpa mambo motomoto".

Ila nilazima umuonyeshe sehem yako ya pili ya aibu za kike wakat huo ukisoma na uvumilivu wake

Kuku wako haraka yann?????.

Ndomara yakwanza, niwazi kua hata miili ilikua haijazoeana, ivo story zingesaidia kuleta Ukaribu wa kimwili zaidi.

Huyo jamaa hajiamin, na niwazi kua alijua asingekutafuna usiku huo basi Asingekaa kukutafuta. Na ametoka huko akijua akifika anakutafuna...( Ungetafunwa kweli wee ungekua mtu wa ajabu ).

Mimi najua, Kesho yake angekutafuna tuuu. Tena angekutafuna hata mchana. Maana naww uko nyumban kwako ungelala lkn kamoyo kanakuuma, unamtaman. Alafu kumlaza mtoto wawatu uko. [emoji23][emoji23][emoji23]

Serious, wanawake mnaroho nzuri sanaaa, nakama Msingeumbwa, Dunia ingeboa sana.

Naomba unikaribishe mkuu. Vile sinaga haraka, hata km ni 2023 nitasubiri tuuuu ,sinaga Haraka mahali ambapo Tumain lipo[emoji119]

Nitashukuru sanaaaaaaaaa !!!!!
Hatareeee sheikh....
 
Sema nn, jamaa umewah kweli....

Huwez amin angekuwah wewe, angetuletea bonge la uzi refuuuuuu sana, akiongea ,akilaumu sana na kukuchora vibaya mnooo.

Ila ngoja kwanza tusikie upande wapili.

Usikute Ulikua unamwambia..."baby ukifika tu nakupa[emoji23][emoji23][emoji23]

Au jamaa, mmekutana laivu ukajikuta unapoteza hamu, tofaut na mlivokua mnawasiliana???.

Maana niwajuavyo wanawake, MKIMWELEWAGA MTU HATA KM NIJANA UMEJUA , BASI LEO UNAWEZA MPA MCHEZO.....wenyewe mnasemaga " sijui nmekuaje mpaka kanila mapema"[emoji23][emoji23]
Sheikh hatare sana unaambiwa
 
Mwanaume anafunga safari na kukufuata ulipo anachowaza kichwani kwake ni bakuli la asali tu..mengine hua ni ziada..sasa uamwambia akalale nyumba ya wageni na stim zimeshampanda na style za kitombo ameshazijenga kichwani mwake ..kununa lazima bana..hata ningekua mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani alichokifanya huyu dada ni kinyume na haki za binadamu, ilitakiwa aende ofisi za ustawi wa jamii ili wamlazimishe demu atombwe
 
Back
Top Bottom