Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume wengi tupo hivyo kusotea mwanamke kama nasotea pesa hiyo hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew mwanamke unaroho mbaya kwanin kumtesha mtoto wa mwanamke mwenzio yani Asafiri umbali wote harafu unamwambie mpige story kueni Serious
 
Hahahahaha. Ameshajikoki ale papa halafu unamwambia habari gani???[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo wanaume bhana.
Cute B, Huko Kinondoni vijana hamjambo? Nilikuwa huko leo.

Anyway, nakumisi my dear.
 
Kwa akili zako mtu achome nauli ili tu mpige story? Hakuna hela inayopotea bure

If you work for living then why do you kill yourself working?
Na ela ilivyokuwa ngumu, kweli mtu akate ticket ya yale magari makubwa aje kumsalimia tu, mbona ai make sense, after all hana ndugu apande daladala ya 400 akasalimie. Wanawake saa nyingine wajiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…