Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Hahahaaaaa,
Mwanaume anae fukuzia penz kwa miezi 6, nakwambia 100% ni malaya totally

Sis ambao tuna mapenz ya dhati nikikupenda ukanipiga chenga wiki moja hata kiss sipati, najiweka zangu pemben mapema, sisemi la moyon tena sms kukutumia hadi mashetan yanipande, nakua cool sishoboki tenaaa...

Naamua kurud kwa mpenz wangu mpira wa miguu.
Maana nikiendelea kukutafuta nitakufa na nyege.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi tupo hivyo kusotea mwanamke kama nasotea pesa hiyo hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew mwanamke unaroho mbaya kwanin kumtesha mtoto wa mwanamke mwenzio yani Asafiri umbali wote harafu unamwambie mpige story kueni Serious
 
Hahahahaha. Ameshajikoki ale papa halafu unamwambia habari gani???[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo wanaume bhana.
Cute B, Huko Kinondoni vijana hamjambo? Nilikuwa huko leo.

Anyway, nakumisi my dear.
 
Kwa akili zako mtu achome nauli ili tu mpige story? Hakuna hela inayopotea bure

If you work for living then why do you kill yourself working?
Na ela ilivyokuwa ngumu, kweli mtu akate ticket ya yale magari makubwa aje kumsalimia tu, mbona ai make sense, after all hana ndugu apande daladala ya 400 akasalimie. Wanawake saa nyingine wajiongeze.
 
Back
Top Bottom