Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Ukiwa unapagawa na vitu vya kijinga,
Wataendelea kukufanyia hvo daima.
Being good judgemental, utajua mwanaume anae faa na asiye faa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hawanipati Ng'oo!!
Mwanaume wa mtandaoni sitaki acha nibangaize na wa mtaani hata mwaka mzima anavumilia.
Wa mtandaoni kukutana tuu kujuana na papuchi anataka ...! Akishakuwa wa mtandaoni Mimi hanifai sina haja ya kujudje mkuu.
 
Hahha issue ni kumwambia mapema kabla hajaja.. sio mnachati vizuri PM na ahadi za kupeana mambo alafu utegemee akikuona atavumilia [emoji1][emoji1] labda uwe angani
Wee wengine wanakubali kwamba hamna kitakachotokea. Na analazimisha kulala na akiahidi hatokufanya chochote. Ina maana mkuu tabia zenu hamzijui au?
 
Mimi nachukua siku 3 tu kujua tabia ya msichana yote.
Pia naweza kumuomba sex siku ya nne.

Sasa wew ukipata boy anae faa,

Wew huna hisia hadi umchape calendar ndefu hvo????

Mapenz mwanzo yanakuaga matamu balaa, hisia kama zote.

Kwako vip?
Mimi hawanipati Ng'oo!!
Mwanaume wa mtandaoni sitaki acha nibangaize na wa mtaani hata mwaka mzima anavumilia.
Wa mtandaoni kukutana tuu kujuana na papuchi anataka ...! Akishakuwa wa mtandaoni Mimi hanifai sina haja ya kujudje mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee wengine wanakubali kwamba hamna kitakachotokea. Na analazimisha kulala na akiahidi hatokufanya chochote. Ina maana mkuu tabia zenu hamzijui au?
Ni waelewa sana! Sema akili ziki hamia kichwa cha chini ....huwa hakisikilozwi kitu! Ila inategemea mtu na mtu msi generalize wanaume wote mnakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napenda tukiwa wapenzi tujigijigi hata baada ya miezi sita.
Ndiyo nitasikia utamu na nitakuwa huru na kileleni nitafika.
 
Ni waelewa sana! Sema akili ziki hamia kichwa cha chini ....huwa hakisikilozwi kitu! Ila inategemea mtu na mtu msi generalize wanaume wote mnakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa wanaume wote hatolewi hata mmoja mkuu.
Sipati picha ingekuwa Mimi mtu aanze kuniziria hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…