Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Hahahaaaaa,
Mwanaume anae fukuzia penz kwa miezi 6, nakwambia 100% ni malaya totally

Sis ambao tuna mapenz ya dhati nikikupenda ukanipiga chenga wiki moja hata kiss sipati, najiweka zangu pemben mapema, sisemi la moyon tena sms kukutumia hadi mashetan yanipande, nakua cool sishoboki tenaaa...

Naamua kurud kwa mpenz wangu mpira wa miguu.
Maana nikiendelea kukutafuta nitakufa na nyege.
Baada ya miezi sita ya kujuana nikiachia papuchi ndiyo naachia moja kwa moja mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweliii wawe na huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee wengine wanakubali kwamba hamna kitakachotokea. Na analazimisha kulala na akiahidi hatokufanya chochote. Ina maana mkuu tabia zenu hamzijui au?
Itakua sio wote mkuu, wengine tunaheshimu hisia za mtu!! Kama hataki bora kuacha maana ukilazimisha kutakua hamna kuenjoy hapo
 
Back
Top Bottom