Baada ya miezi sita ya kujuana nikiachia papuchi ndiyo naachia moja kwa moja mkuu.
Kwakweliii wawe na hurumaMmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua sio wote mkuu, wengine tunaheshimu hisia za mtu!! Kama hataki bora kuacha maana ukilazimisha kutakua hamna kuenjoy hapoWee wengine wanakubali kwamba hamna kitakachotokea. Na analazimisha kulala na akiahidi hatokufanya chochote. Ina maana mkuu tabia zenu hamzijui au?
weeee km zoteeee jamani mue jamani na huruna hata ka ni stori si kwa simu jamaniiiAkija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahAkija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shemeji bhana eti amesafiri km 700+ kuja kupiga storiUwe na huruma. Km700+ si mchezo. Hata mimi sikubali. Kwani we wakati anakuja hukujua kuwa ataomba mchezo?
Yan km 700+ aje kupiga stori tuu? Stori hata kwa simu si mnapiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Haraka ya nini kivipi? Yaani umruhusu mtu asafiri km 700+ plus ili tu mje kupiga story!!!! Duuuh....Jamani si anavumilia tu siku zinazokuja huenda zikawa nzuri,haraka ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dar hadi Arsh ni Km ngapi??
GuDume njoo hukuAkija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah, haya bwana, ngoja nikalale guest.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] aseee ukilegea umeliwaaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shemeji bhana eti amesafiri km 700+ kuja kupiga stori
Sent using Jamii Forums mobile app