Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mwenza acha tu. Halafu limtu hata huwazi kulipa hata hug ya juu juu. Limetongoza limekataliwa linaanza kuweweseka.
Na hayuko mmoja. Kuna kikundi cha mataahira huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahahahahahah ila acha wajifariji no way!
 
Maendeleo hayana chama

sent from this unknown device
 
Tatizo huwezi kubali kila mtu. Sasa mkishaonana nje ya hapa mtu anataka akukule jamani. Na ukimkazia ndo na ID fake anatumia kukunanga

Sent using Jamii Forums mobile app
dah ka ndo hivyo bora mtu aishi maisha yale aonayo yanafaa kwake na yanampa faraja yeye, alafu hizo mambo umekula/umeliwa unazirudisha huku ni utoto
 
Mwenza acha tu. Halafu limtu hata huwazi kulipa hata hug ya juu juu. Limetongoza limekataliwa linaanza kuweweseka.
Na hayuko mmoja. Kuna kikundi cha mataahira huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha pole jamani, wanaume sijui wapoje yani ukishamkubalia kufahamiana nae anaona tayari umeshakubali kila kitu, ninong'oneze hilo kundi la washamba teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…