Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Tatizo huwezi kubali kila mtu. Sasa mkishaonana nje ya hapa mtu anataka akukule jamani. Na ukimkazia ndo na ID fake anatumia kukunangakikubwa mipaka na makubaliano
Sent using Jamii Forums mobile app