Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Haha pole jamani, wanaume sijui wapoje yani ukishamkubalia kufahamiana nae anaona tayari umeshakubali kila kitu, ninong'oneze hilo kundi la washamba teh

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh. Mtu ukishampa namba anajua hii mboga yangu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sio kikundi mwenza ila kuna wajinga tu. Unahisi wana umoja wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananionea jamani. Wangekua wamenila kweli sijui ingekuwaje. Halafu na vile mi nawadharau basi ndo nawazidishia hasira ya kunipa mabango [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wakikutangaza unayasikiaje?? Wanaongea wazi wazi? Au pm?
Usikute na mie nasemwaga sijui
 
Kwaiyo nikipata hug nakua na stand over ya % ngapi. Kutelezesha? Sema naona siku hizi umekua jasiri Sana unayarusha tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi jasiri siku zote. Hamna mwanaume atanitisha huku kisa kanitongoza. Alienila mwenyewe hanibabaishi ndo ije hawa walonitongoza nikawakataa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Enyi wadada mna haki ya kusema haya mliyoandika hapa kwenye huu uzi, bcoz probably mnatongozwa na wanaume wengi, na wanaume wengi tunajionesha kuwa tuna njaa na papuchi, so vichwa vyenu/ego/maringo/ na nyodo zenu vimekuwa vikubwa, kwa kuona papuchi zenu ziko on demand Mzigua90 cutelove cute b
 
Ukishakua mwanamke demand ya papuchi yako lazima iwe high.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…