Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Wananionea jamani. Wangekua wamenila kweli sijui ingekuwaje. Halafu na vile mi nawadharau basi ndo nawazidishia hasira ya kunipa mabango [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wamezidi kukuonea. Pole mom.
Sent using Jamii Forums mobile app