Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Tangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza to Dodoma just for story telling? [emoji2] bearing in mind of your ID cute love.
I couldn't bear it my dear.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
da we dada huna hururma hivi wakati mnawasiliana kwenye mtandao alikuwa hajakugusia kuhusu kula papa?au mpaka unamkubalia kuja kulala kwako kwanini usijiongeze tu ukamjaalia mzigo? halafu unasema kuku wakwako haraka ya nini siungempa tu aiseee
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hakutanguliza pesa mbele
Wanaume wa mikoani hawajui mambo ya Dar
Hapo angetoa wekundu wa 5 tu mngelala wote na angegeda
 
Kisa avatar yangu mbaya!Ukitokewa na mwenye avatar ya uhandsome unamshobokea kwa kiwango cha lami na kusahau kabisa kuwa una chura ambayo huwa unaitukuza!![emoji1][emoji1][emoji1]
Utakuwa unautizama tuuu kama si kula kwa eyezz
 
Back
Top Bottom