Hahahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa
It takes one to know one... IYKWIMNingeshangaa usingetokea hapa. Ndiyo nyuzi zako hizi.
Hata namjua basi. Najiandikia tuHivi bi dada huyu unaempiga madongo ni nani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe niambie tuu cute kajifunze kingereza.And the way I like your English.
SijaliiiUkisema hivyo tunakujia na bonge la Uzi kama loteeeee[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Eeeh.Kumbe hata hela hawana kama Mimi?? Rule namba moja ukitaka papuchi uwe na hela bhana
Nachosikitika kapoteza nauli,, ila nina imani atakuja akufunue vzuri tu,, uliogopa konekana cheap labour,, WANAUME TUMEUMBWA IVO,, Hisia zetu ziko 0 kmMmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga sanaSiwezi tongoza mrembo anikatae afu nimtukane, hao wanaume ni wajinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
MwenyeweeeAkija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we jamaa unatoa makavuMtu anaweka neno 'Mungu' kwenye mada iliyojaa vitunguu swaumu, na yeye eti ana ndoto ya kuolewa..rubbish!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wewe kiboko, Hongera sana kwa UkalimuTangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe mzee babaIla sijilaumu kwa uamuzi niliochukia, sijutii hata...Ila sitokufungulia thread kama ulivyofanya wewe
😂😂😂😂😂😂😂 mwenyewe kashajijua huko aliko
So Google transileti yako unayoWewe niambie tuu cute kajifunze kingereza.
Kuliko kunisema[emoji23]