Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole.

Japo ulimtosa inaonesha ulimuelewa sana.

Hahahhahha huyo hafai n mzinifu tu dada fyekelea mbali

Kwani ndomu zilikuwa zimeisha?
 
Duuh aisee, ila Inategemeana namna mlivyo kuwa mnawasiliana,kuna baadhi ya mawasiliano mkuu Inawezekana mlikuwa mnaonyesha distance ndo kikwazo cha naniliuuuu,anashangaa amefika unamgeuka
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kujua aina ya charting yenu befor kuja kwake kwako ilikua ni ya aina gani usije uka walaum wanaume kumbe wote milikua lugha gongana hakuna mwaname mzembe kiasi hicho .
 
Ni bora ulimbania,maana baadhi ya wanaume ni wasenge sana,hapo kama ungekubali kulala nae pia angekudharau na kukusema kuwa we ni mwepesi tena malaya
 
Mungu anipe ujasir kama wa jamaa yaan nyie wanawake mna masihara nisafir km 700 then unichezee akili yangu!
Ukiona mwanaume amekubali hilo ujue ww ni mbovu na akienda kulala asubuh anaamkia ubungo no notification
 
Back
Top Bottom