1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee basi ana haki ya kukasirika...ila na mimi nataka nije kukusalimia upo mkoa gani nikuje bibie nipo tayari kulala hata uvunguni
Sio rahisiAkilengwa na manati na wenye shabaha, utlaumu nani? kuku akichinjwa leo lazima aliwe leo
Hahaah,karibu!!Asee basi ana haki ya kukasirika...ila na mimi nataka nije kukusalimia upo mkoa gani nikuje bibie nipo tayari kulala hata uvunguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Itategemeana!!!Kwanini humkatalii hadi aunguze nauli yake?wanawake watu wa ajabu sana hapo akilala guest kesho yake unampa k bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ulimfanyia roho mbaya sana
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha...huu uvumilivu sina na sitakuja kuwa nao haha...miez sita imekuwa naomba kazi au..!!Baada ya miezi sita ya kujuana nikiachia papuchi ndiyo naachia moja kwa moja mkuu.
hahahahaha kua uyaoneSio wote jamani, mie naomba nije kukusalimia na nipo tayari kulala guest house.
Lakin kumbuka vitaoza