Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.Duh,hivi ulisema we ni kabila gani vile?Yaani na matusi yote yale ya juzi kutoka kwa NN bado umempunzisha!!Ntakuja kuoa kabila lenu
Raha kweli....
Mchungaji nataka unipe cheo cha Assistant Parish Priest ukifungua kanisa lako kule South Sudan naambiwa kuna uhitaji mkubwa sana wa huduma kondoo wa bwana hawana mtu wa kuwachunga.Mkuu umeuwa sasa!
Hehehehe!!!!Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.
Imenibidi nicheke maana kuna post moja kuna member alimtukana Masanilo halafu Masanilo akamjibu "Matusi yako matamu kweli" lol!!!Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.
Itabidi na wewe uombe maana hutoenjoy JF bila mimi!!Muone kwanza ....ngoja nikutafutie ban.....
Mchungaji nataka unipe cheo cha Assistant Parish Priest ukifungua kanisa lako kule South Sudan naambiwa kuna uhitaji mkubwa sana wa huduma kondoo wa bwana hawana mtu wa kuwachunga.
Mh!Rev Masanilo vipi?Nimekustukia,Lizzy=Igwe=bebii=Rev Masanilo!!Mmmh unanifurahisha unajijibu mwenyewe! Hahahahahaha Lizzy bwana
Itabidi na wewe uombe maana hutoenjoy JF bila mimi!!
Safi sana,vipi yule mdogo wako wa kike, bado yuko single?nimelizimikia sana kabila lenuMatusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.
Mh!Rev Masanilo vipi?Nimekustukia,Lizzy=Igwe=bebii=Rev Masanilo!!
Tuombe BAN Jumamosi hadi J4 Ijayo ama vipi? Huwa nakuchukia sana ila nakumiss pia
Unanichukia wapi...unanipenda sana sema basi tu!!
Mmmh ingenoga kama ingekua mwezi kabisa!!!Heheh
Umeona eee??!!Mh!Rev Masanilo vipi?Nimekustukia,Lizzy=Igwe=bebii=Rev Masanilo!!
Mmmh sidhani kama umefikia kiwango!!Safi sana,vipi yule mdogo wako wa kike, bado yuko single?nimelizimikia sana kabila lenu
Mkuki kwa kitimoto....Ufalme wa mbingu utausikia kwa majirani! Hebu ondoka wewe umelaaniwa hahahahaha in a good way thou
Hahaha!!! Sasa hapo Masanilo nimeconclude na pia umenikumbusha harusi moja mzungu mwanaume alikuwa anamuoa mwanamke wa kibongo sasa ulipofika wakati wa wao kuzungumza jamaa akasema "You think me and (akataja jina la mke wake) we will stop fighting? No way we have been fighting even before we got married, so i don't think if we will stop fighting, the fighting will go on", watu kwenye harusi walicheka mpaka basiKwenye mahusiano hasa ya kindoa kuna pretendecy sana!
Nimeangalia movie ya "Up in the Air" George Clooney alimuuliza Anna Kendrick amtajie ndoa mbili zilizo na raha kwa wanandoa wote bila kasheshe....Anna Kendrick hakuweza. Kama ingewezekana I could marry my best friend. Haina shida ila kwanza nitakuweka kwenye uangalizi kwa miaka 7 halafu utakuwa msaidizi.
Ehhhh kwani mambo hayo yapo?!Utarudi na ujauzito aisee!