Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.Duh,hivi ulisema we ni kabila gani vile?Yaani na matusi yote yale ya juzi kutoka kwa NN bado umempunzisha!!Ntakuja kuoa kabila lenu