Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

Duh,hivi ulisema we ni kabila gani vile?Yaani na matusi yote yale ya juzi kutoka kwa NN bado umempunzisha!!Ntakuja kuoa kabila lenu
Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.
 
Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.
Imenibidi nicheke maana kuna post moja kuna member alimtukana Masanilo halafu Masanilo akamjibu "Matusi yako matamu kweli" lol!!!
 
Tatizo wazazi nao wanachangia. Huwa hawalitumii sana hili neno kwa watoto wao ili walizoee na kuliona la kawaida. Ndio maana akiambiwa I love you tu kidogo anashoboka... lol. Narudi kwa maswali
 
I cant call you baby whn my wife is around. You know that dont you?
 
Mchungaji nataka unipe cheo cha Assistant Parish Priest ukifungua kanisa lako kule South Sudan naambiwa kuna uhitaji mkubwa sana wa huduma kondoo wa bwana hawana mtu wa kuwachunga.

Kwenye mahusiano hasa ya kindoa kuna pretendecy sana!

Nimeangalia movie ya "Up in the Air" George Clooney alimuuliza Anna Kendrick amtajie ndoa mbili zilizo na raha kwa wanandoa wote bila kasheshe....Anna Kendrick hakuweza. Kama ingewezekana I could marry my best friend. Haina shida ila kwanza nitakuweka kwenye uangalizi kwa miaka 7 halafu utakuwa msaidizi.
 
Matusi kitu gani bwana...watu wanaachiwa mpaka makovu na kuvunjwa viungo bado kesho yake wanawapumzisha wenzao.
Safi sana,vipi yule mdogo wako wa kike, bado yuko single?nimelizimikia sana kabila lenu
 
Kwenye mahusiano hasa ya kindoa kuna pretendecy sana!

Nimeangalia movie ya "Up in the Air" George Clooney alimuuliza Anna Kendrick amtajie ndoa mbili zilizo na raha kwa wanandoa wote bila kasheshe....Anna Kendrick hakuweza. Kama ingewezekana I could marry my best friend. Haina shida ila kwanza nitakuweka kwenye uangalizi kwa miaka 7 halafu utakuwa msaidizi.
Hahaha!!! Sasa hapo Masanilo nimeconclude na pia umenikumbusha harusi moja mzungu mwanaume alikuwa anamuoa mwanamke wa kibongo sasa ulipofika wakati wa wao kuzungumza jamaa akasema "You think me and (akataja jina la mke wake) we will stop fighting? No way we have been fighting even before we got married, so i don't think if we will stop fighting, the fighting will go on", watu kwenye harusi walicheka mpaka basi
 
Back
Top Bottom